Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Jiwe walilolikataa waashi sasa linakua jiwe kuu la taifa,hongera vijana kwa kuipamba furaha ya nchi na kusindikiza ushindi wa safari ya AFCON.....picha inajieleza zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama vile umepigwa shoti
Kuna haja wacheze ule Wa nyegezi jijini Mwanza.....Kwanini Tetema ya Vanyboy inachezwa na wachezaji wa Tanzania kila wakifunga goli?
Kwani hakuna wimbo mwingine hapa Tanzania zaidi ya Tetema?
Basata wanakuchora tu.Kuna haja wacheze ule Wa nyegezi jijini Mwanza.....
Ipo mkuu,mvumo wa radi [emoji3]Kwanini Tetema ya Vanyboy inachezwa na wachezaji wa Tanzania kila wakifunga goli?
Kwani hakuna wimbo mwingine hapa Tanzania zaidi ya Tetema?
Kwanini Tetema ya Vanyboy inachezwa na wachezaji wa Tanzania kila wakifunga goli?
Kwani hakuna wimbo mwingine hapa Tanzania zaidi ya Tetema?
Tuliwapa kazi kweli kwanza tukawaambia wamfunge cape verde wakafanya hivyo lesotho akatupiga mara tukawaambia tuwafunge ila na vijana wamejitahidi wanastahili pongezi ila uganda ni marafiki wa kweliWrite your reply...
shukrani zangu zaidi ziende kwa waganda hakika hawa ni rafiki zetu wa ukweli kabisa
..kama mwizi kakupiga ngetha...kama vile umepigwa shoti
Kwa sababu ni wimbo wa mpya wa taifa....halaf unaleta swaga kwenye kuucheza,hebu jaribu hapo ulipokaa kutetema.kidogo uone vibe lakeKwanini Tetema ya Vanyboy inachezwa na wachezaji wa Tanzania kila wakifunga goli?
Kwani hakuna wimbo mwingine hapa Tanzania zaidi ya Tetema?
Naona hii sred yako kama vile maudhui yake yanalenga kuwasifia WCB na ngoma yao ambayo ilitawala sana uwanjani TETEMA.....hadi Ali Kiba alimaindi na kuhojiwa na Dizzim online akawaletea nyodo kisa TETEMA😀😀😀Jiwe walilolikataa waashi sasa linakua jiwe kuu la taifa,hongera vijana kwa kuipamba furaha ya nchi na kusindikiza ushindi wa safari ya AFCON.....picha inajieleza zaidi.View attachment 1053425