Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Hata Selemani Bungala a.k.a Bwege Mzee wa "we ulisikia wapi" aliitwa Kenya kwenye kampeni za Odinga 2022Mandonga anapotea TZ ila Kenya ana trend sana, hii itamsaidia, ukiwa maarufu hapa TZ ukajulikana Kenya basi umeshamaliza
Kina MR Nice mpaka sasa wanapiga show Kenya huko
Ndio, wale jamaa huwa wanapenda talents za hukuHata Selemani Bungala a.k.a Bwege Mzee wa "we ulisikia wapi" aliitwa Kenya kwenye kampeni za Odinga 2022
Hivi kale kajamaa ka mr Nice kumbe bado kapo?Mandonga anapotea TZ ila Kenya ana trend sana, hii itamsaidia, ukiwa maarufu hapa TZ ukajulikana Kenya basi umeshamaliza.
Kina MR Nice mpaka sasa wanapiga show Kenya huko
Yupo ,alihama Tz, anadai watu huku hawampendi, ni kipindi hiko alizushiwq kuwa na ngomaHivi kale kajamaa ka mr Nice kumbe bado kapo?
Maana kuna mwaka flani kaliugua sana akakonda na kubaki kichwa tu badae wakazusha amekata kamba kumbe alitoboa?!
Toka apa [emoji1787][emoji1787]Na simba Fc kumpiga mtu 7[emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huu ni wakati wa Zuma akee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani kuna pambano hapa kati amepigana kimyakimya?Bondia wetu Mandonga taratibu anaanza kutoka nje ya reli. Ule umaarufu wake umeanza kupotea kiaina. Yeye sio wa mwanzo wala sio wa mwisho katika watu walioibuka na ku-vibe kisha kupotea.
Huko nyuma alishawahi kuwepo babu wa loliondo, nabii tito, pierre likwidi, Dr. Shika na wengineo wengi.
Sasa naona zamu ya Zumaridi ambaye anapewa airtime na media ya Tanzania kuongea vitu vya kufikirika.
Pia kuna mtu anajiita DJ Ally B almaarufu Profesa au Asumani.
Yeye hupiga kelele na miluzi akiwa kwenye gari lake...basi nae kawa maarufu.
Wakati ni ukuta!