King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Mondi ameshukaje kimziki, siku chache tu juzi hapa kaachia kibao cha Zuwena na naona kimepata mamilioni ya views duniani.
Muziki wowote hata wa zamani, ikitokea umefanywa kwa ustadi basi utasklizwa miaka yote, huyo Z-Anto mpaka leo napenda sana ngoma yake.
Kimsingi wewe enjoy ngoma, achana na msanii.....
Mkuu kashashuka kimziki ,sasa hivi anaachia wimbo ndani ya mwezi My baby una view 980k(Audio) ,Zuwena imeenda kwasababu ya Kiki ,watu wanataka wamuone zuwena amefanya nini kwenye hiyo video ,yaani amejulikana Zuwena kuliko Mziki wenyewe.
Tungekuwa na Organization hapa tanzania kama RIAA ungeona trend ya kushuka kwa huyo Damondi....Ni kweli mkuu mimi napenda mziki mzuri na si mwanamziki,kuna ngoma za zamani za dayamondi nazikubali mpaka leo kama Mbagala,Nenda kamwambie na Nitarejea hayo makopokopo na madebedebe aliyotoa tena sijawahi kuyapenda kwa kiba wimbo wake wa cinderela/macmuga/utu na utulivu nazipenda nyingine hapana!