Nyota ya uzazi inavyotesa mahusiano yangu

Nyota ya uzazi inavyotesa mahusiano yangu

Mi hua nawaambia situation niko nayo kwamba inahitaji muda kufanya maamuzi ya ndoa ama kuzaa.... Nadhini wenyewe katika kuniaminisha kwamba naweza pendwa na kujaliwa wanakimbilia kwenye kubeba mimba kitu ambacho sitaki kukisikia kabisa kwa sasa.
Ila ungempuzika tu mahusiano utafte wakupooza machungu ya hamu the rest sio kuzaa wataanza kukusumbua mpaka ujute. Huo ni mda wako wakutafakarika ni wapi ulikosea na kumtuliza kichwa kufanya mambo makubwa na sio mahusiano mwishowe urogwe bure na huo unayemuoa awe kichomi kuliko wa mwanzo na hapo kashazaa mwishowe uwe mzee wa kuoa na kuacha
 
Yani week moja umeshaji verify kwamba huyo ni wife material na kila kitu mmejuana!

Wasichana wa kipare japo ni dada zangu ila kwa hilo hapana 😅~in JPM vocals!
mzee jinsi ananipetpeti na story za kazini kwao wanavyomuelezea ndo zinafanya niseme wife material ila sija verify bado maana now nina project ya kuwapitia tuu na sio makazi
 
mzee jinsi ananipetpeti na story za kazini kwao wanavyomuelezea ndo zinafanya niseme wife material ila sija verify bado maana now nina project ya kuwapitia tuu na sio makazi
Jipe muda mzee😅! Siwezi sema sio wife material ila wanawake wengi wakitaka ndoa ni malaika wa peponi kabisa😅 unaweza tamani wewe ndio ungekuwa adam yeye Eva
 
Wiki moja!!

Bado ni mapema sana.

Kaa naye, zungumza naye kwa kina, kubaliana naye kuwa nawe pia wahitaji watoto, ila ni wajibu wake kusubiria wakati sahihi, hasa baada ya kuwa tayari mko katika ndoa, na mahusiano yenu yana muda wa kutosha, kwa sasa mjipe muda zaidi , nina hakika ukizungumza naye kwa dhati atakuelewa na atafuata kile unachotaka.
Umeongea point saana binafsi si mlazimishi akishindwa ntamuacha aende maana mwenyewe anadai ata nikikimbia mtoto atakua zawadi kwake atalea mwenyewe kitu ambacho si afiki
 
Ila ungempuzika tu mahusiano utafte wakupooza machungu ya hamu the rest sio kuzaa wataanza kukusumbua mpaka ujute. Huo ni mda wako wakutafakarika ni wapi ulikosea na kumtuliza kichwa kufanya mambo makubwa na sio mahusiano mwishowe urogwe bure na huo unayemuoa awe kichomi kuliko wa mwanzo na hapo kashazaa mwishowe uwe mzee wa kuoa na kuacha
Sister umeongea point kubwa saana, ila nini mwanamke ukimwambia mahusiano haya ni ya muda tuu hakupi nafasi mpaka umdanganye danganye ila binafsi sina mpango wa kuoa leo wala kesho na mpango wa kuzaa sina nishaliga chini wengi wenye pigo hizi....
namuonea huruma ataumia saana
 
Jipe muda mzee😅! Siwezi sema sio wife material ila wanawake wengi wakitaka ndoa ni malaika wa peponi kabisa😅 unaweza tamani wewe ndio ungekuwa adam yeye Eva
mkuu we unaweza kusema kitu ambacho unakiskia au unaona kwa jamaa zako ila binafsi hivi viumbe navijua maana hata huyo xwife alijijaza mimba fasta fasta na kulazimisha ndoa ila chamoto nilikiona
 
mkuu we unaweza kusema kitu ambacho unakiskia au unaona kwa jamaa zako ila binafsi hivi viumbe navijua maana hata huyo xwife alijijaza mimba fasta fasta na kulazimisha ndoa ila chamoto nilikiona
Mzee mie pia sio mgeni kama unavyoweza kudhani😅!

Yani hao watu nawajua vizuri sana saikolojikale na watu wengi tu nishawasaidia ku resolve vipengele
 
Mzee mie pia sio mgeni kama unavyoweza kudhani😅!

Yani hao watu nawajua vizuri sana saikolojikale na watu wengi tu nishawasaidia ku resolve vipengele
Ndo mana we ni mwelewa saana mkuu! Hawajui wanataka nini hawa dada zetu
 
Yaani unaleta kitu cha wiki upo serious na mapenzi kweli? Halafu unasema umetoka kwenye ndoa ? Wewe inaonekana haujielewi ndiyo maana mkeo kakukimbia kwa akili hizi lazima mwanamke akimbie nenda waulize wazazi wako watakupa uzoefu.
 
Aahh wait...unamaanisha wewe hupendi kabisa Watoto.

Hata mkeo kuzaa hao watoto. Ni yeye alilazimisha huko mwanzon??? Bila kulazimisha Msingezaa ???.( HAPA NAZUNGUMZIA MKEO, MWANAMKE WA NDOA, ULOMPENDA, UKATOA MAHARI, UKAFUNGA NDOA KABISAA, KWAMBA TUOANE TUJENGE FAMILIA, KWAMBA FAMILIA LAZIMA IWE NA WATOTO)

KISHA MKAACHANA.......ukawa na mahusiano kadhaaa, wote unawaacha sababu wanataka mtoto..

Huyu Umempata....anataka kuzaa, ila unahoji "Et kama anazaa"... Nmpe mimba??... Nini shauku lako juu ya uzazi wake mpaka uhoji ????....

Anayejua anazaa au hazai si ni mwanamke Mwenyewe ???

JE WEWE UNAZALISHA ????...

MKUU JICHUNGUZE, NAPATA HOFU, NAHISI HUZALISHI,,,, HATA MKEO ALIZAA NA MWANAUME MWENGINE, NDIO MAANA AKAZAA NA MMEACHAN
Naona unachanganya mada ila nikusaidie mimi sichukii watoto ila nachukia uzazi usiokua na mpango.
siwezi leta watoto duniani wakaleta laana badala ya baraka hivyo huwezikubadili utaratibu wa kila nnacho amini kufuata unavyoona wewe.

Sasa kama mwanamke anajua sitaki mtoto kwanini anibebeshee wa mtu mwingine hivi inakuingia akilini kweli??

ningeweza kukupostia picha yangu na watoto wangu wala usingeuliza ni wanani pia mimi ni mchaga watoto nshawapandisha mlimani migomba ikatiki....

Ishu jiulize ni kwanini wewe mademu zako hawataki wabebe mimba zako?
 
Back
Top Bottom