Nyota ya uzazi inavyotesa mahusiano yangu

Kunakitu wanawekewa kwenye nyumba ya uzazi tulichagua cha 12 yrs ila hata kabla unaweza kitoa abebe mimba.

tungeweza kuzaa baadae angalau mmoja au wawili tena baada yakufikisha malengo niliyoyapanga kwa familia yangu.
Umri wake kwa sasa ni kati ya 30-35
 
Halafu mi namshangaa huyu jamaa,.. Keshasema mwanamke ana sifa zote za kuitwa mke, sasa anasubiri nini uyu jamaa panya nini uyu...
Ha ha haaa mkuu umeniita mi panya kweli? Wanaigizaga hao si wakweli na uzuri watoto nnao ndoa na ijua unadhani anakipi kipya!?
 
Kumbuka ni mahusiano yakutuliza nyege tuu na si vinginevyo
 
Huyo mpare itakua hajawahi kutana na wakorofi wa mahusiano hvi wiki moja hahahah anataka na mtoto duhhh
 
Mzee fanya kama wafugaji vile, jike akiwa kwenye joto anaenda kupandishwa..

Mpare wako akiwa siku za hatari, mlete nimsukumie guu la jini..

Masihara pembeni, muoe umpe hitaji la moyo wake kama unampenda kweli, kama unahisi unaweza pita hivi, muache kabisa.
 
Tatizo ni umri. Hiv unatoka na mwanamke wa miaka 30 au zaid na hajawai pata mtoto, hapo unategemea akuombe nn tena?
 
Mwanamke akikuambia nataka unipe mimba jua hakupendi anakutega akuache

Mwanamke anayetaka mimba hakuambii kamwe yeye anakutega tu akiwa kwenye hatari afyatue

Elewa jamaa
 
Mwanamke akikuambia nataka unipe mimba jua hakupendi anakutega akuache

Mwanamke anayetaka mimba hakuambii kamwe yeye anakutega tu akiwa kwenye hatari afyatue

Elewa jamaa
Inawezekana pia japo mimi kivyovyote haiwezekani
 
Ngoja nipite hivi nikuachie umpige guu la jino mkuu
 
Afadhali aniombe hela mkuu ila si mtoto
Unajua we jamaa mpaka sasa bado sijajua sababu za kukataa mtoto?, unakataa kwasababu unao wawili au unakataa kwasababu maisha magumu kulea hutaweza? Au unakataa kwasababu hutaki kuachiwa watoto tena?
 
Unajua we jamaa mpaka sasa bado sijajua sababu za kukataa mtoto?, unakataa kwasababu unao wawili au unakataa kwasababu maisha magumu kulea hutaweza? Au unakataa kwasababu hutaki kuachiwa watoto tena?
kama watazaa waniachie sio shida, shida wanang'ang'ania ili wakusumbue na mambo ya child support na ujinga mwingi kitu ambacho kita haribu malezi ya watoto wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…