Nyota yake ya kisiasa iliyong'ara sana mwanzoni, imefifia mno kwa sasa kwenye medani

Aaaagh ulichokisema ni kweliiii......

Kaka wa kutoka FAMILIA KUBWA....

Sisi wengine tunasubiri atutumie kisiasa kwani binafsi ninaamini yeyote aliyechaguliwa na chama basi ni CHAGUO LA MUNGU......

Oooh CCM chama changu CHAGUO LA MUNGU.....[emoji120][emoji120]
 
AKA Kipara. Mzee wa kukunja mashati[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Makamba, Riziwan, wakuu wa wilaya kadhaa hao mama kuwaondoa kwenye nyazifa zao ni kutangaza ugomvi na baba zao.
Mama kamwe hana ujasiri wala uthubutu huo, JPM japo sikumpenda Ila alikuwa kiboko ya watu kama hawa, angewatimulia mbali bila kuhofia hao babazao wala shangazizao!.
 
1. Umejuaje? Ulikuwa naye?
2. Kuna mtu kalalamika kuibiwa nyota yake? Kama alikulalamikia mtaje.

Kwa maelezo yako inaonekana unafahamu vizuri namna wizi huo hufanyika, au wewe ndiye mlozi wake?
 
Hili swali la mstari wa mwisho linaweza kujibiwa na mwanamama CEO wa Simba aliyepita, hata akiwa usingizini.

Ni maelezo ya mtu anayemfahamu kwa undani zaidi. Kama yumo humu mshtueni aje, halafu mwone kama atashindwa.

Ova
 
ID mpya hii maalum kumshambulia Makamba
 
Hili swali la mstari wa mwisho linaweza kujibiwa na mwanamama CEO wa Simba aliyepita, hata akiwa usingizini.

Ni maelezo ya mtu anayemfahamu kwa undani zaidi. Kama yumo humu mshtueni aje, halafu mwone kama atashindwa.

Ova
s mchezo
 
AMEN!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Kadiri mnavyo mzungumzia ndivyo mnamuweka kwenye chart 🤡 ubaya ni kuwa majungu ni mtaji kisiasa atazidi kukaa kinywani hata akienda mafichoni.

Huyo makamu waziri mkuu na waziri wa nishati kazima haraka ila makamba kila siku yupo vinywani mwenu.

CCM hakuna msafi hata mmoja
 
Hapo mtaani kwenu yuko aliye msafi ?!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]
 
Huyo mkunja mashati ni mtu mmoja mjinga na mpumbavu sana. Ni mwizi wa kutupa. Ukimuona hivi unaweza dhani ni mtu smart, ila ni jinga jinga. Pumbavu sana, na ndo maana aliiba mtihani ya form four na kufutiwa matokeo. That should tell you ni kilaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…