masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Mpenzi wangu ana mshale na mimi ni ngombe ki ukweli ukijaribu kuziangalia hizo nyota haziendani hata kidogo
kwani tulishaingia katika mahusiano mwanzo na kuachana hii ni kushindwa kumuhandle
ki ukweli hana kosa lakini ugomvi hauishi lakini kubwa ni kipindi hicho nilikua NAMUOGOPA na hiyo ni mpaka sasa namuogopa as if ashakuwa mume wangu ki ukweli napata hofu sana hata akinipigia huwa naogopa
by the time tukiwa pamoja mimi ndo nilikuwa chanzo kwani nilishasema sikuwez bora tuachane and the like lakin hii yote ni kutokana na kuogopa so yeye ndo akaniacha maana aliniona insecure sana
sasa this time around mpaka najishangaa sin pingamizi la kuendeleza kuwa nae as long as he is there for me ila sasa bado namuogopa namuhofia sana
nikamueleza mtu akaniambia uwenda ni nyota zenu
na ni ukweli nimejaribu kuangalia nyota yangu na yake haviendani kabisaa
WATAALAMU WA NYOTA MSAADA
ki ukweli sitaki kumpoteza
maana ukiangalia nyota yangu inapenda mtu wa kunilinda sana ila yake ni ya mtu anaependa uhuru sanaa