Lisa Valentine
JF-Expert Member
- Jun 20, 2014
- 317
- 519
Mtu anaeamini nyota na kuzifuatilia ni lazima awe anaamini ushirikina pia.
Ndo ushirikina wenyewe huo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu anaeamini nyota na kuzifuatilia ni lazima awe anaamini ushirikina pia.
Ndo ushirikina wenyeweE]
ight
You might be right. Hivi nyota ni nini? Huwa naona watu wanadai mara Simba, mbuzi,n.k. Vina uhusiano gani na maisha ya kawaida?... Utasikia mtu anasema wanatembelea nyota yangu...
Naomba wanaoijua vizuri bible watuelezeee vizuri kuhusu hili, ikiwezekana na wanasayansi. Mambo ya akina mzee yahaya tunachanganyana tu hapa.
mkuu nimekuelewa vyema
lakini jaribu kuangalia tabia za taurio na sagitario mwanamume yeye hupenda maisha ya uhuru na mahusiano yasio comitted hiyo ni kinyume sana na tabia za taurio ambae anapenda security,care,concern and the like lakini mshale yeye ni insensitive uoni hapo kuna tofauti kubwa sana
na pia miezi ya kuwa romanticina utofauti mkubwa
JE KUNA solution YEYOTE maana naona ni ngumu sana ku handle hii issue
ngoja nikuulize mkuu
wewe ni TAURUS na umezaliwa tarehe ngapi ????
je una tabia za uoga?,unapenda mahusiano kamili???.unapenda kustay indoor sana
Embu pita hapa ujionee ni vipi tauras woman wametoa experience zao dhidi ya Sagittarius man.
Taurus Woman and Sagittarius Man Love Compatibility | Ask Oracle
And
http://www.compatible-astrology.com/sagittarius-man-taurus-woman.html
...
Still zingatia maelezo niliyokupa awali.
Mtu anaeamini nyota na kuzifuatilia ni lazima awe anaamini ushirikina pia.
Si kweli
mkuu nimekuelewa vyema
lakini jaribu kuangalia tabia za taurio na sagitario mwanamume yeye hupenda maisha ya uhuru na mahusiano yasio comitted hiyo ni kinyume sana na tabia za taurio ambae anapenda security,care,concern and the like lakini mshale yeye ni insensitive uoni hapo kuna tofauti kubwa sana
na pia miezi ya kuwa romanticina utofauti mkubwa
JE KUNA solution YEYOTE maana naona ni ngumu sana ku handle hii issue
Mimi Aries na wife Aquarius, embu nipe maeneno hasa kuhusu relationship yetu!
Mpenzi wangu ana mshale na mimi ni ngombe ki ukweli ukijaribu kuziangalia hizo nyota haziendani hata kidogo
WATAALAMU WA NYOTA MSAADA
ki ukweli sitaki kumpoteza
maana ukiangalia nyota yangu inapenda mtu wa kunilinda sana ila yake ni ya mtu anaependa uhuru sanaa