Masai dada, katika maisha ni vema sana kujua unachohitaji, vipaumbele vya mtu unaetaka kuwa nae, never make harsh decition, jua kuheshimu fikra zako, na jiamini kwa maamuzi unayoyachukua. Hii itakuweka huru sana na utayafurahia sana maisha yako..
Usiamini vitu usivyovijua wala kuviona hasa mambo kama hayo ya nyo
Ushajiuliza y unamuogopa, na kumuacha mtu na kumrudia pasipokutatua kile kilichokufanya umuache ni kosa kubwa.
Inaonekana huwa unakurupuka unapofanya maamuzi sababu kwa maelezo yako inaonekana unafanya uamuzi bila kujiridhisha na sababu za ku
Mwisho nakushauri, uliyempata amini ndo mtu sahihi,Jiamini, Acha au punguza wivu kama unao, muwelke