Nyota zinasema Taifa stars washashinda mechi,lesotho inabidi wafanye mafusho kupindua matokeo

Na hichi ndicho mnachokiamini.

Hatutoendelea abadan tusipoacha ramli na kuanza kuelekeza nguvu zetu kwenye mafanikio.

Mtu ajipinde mchana jioni wee uangalie nyote uwaambie watashinda.

Ndio maana watu wanapimwa oil chafu kwa kupenda rahisi rahisi.
 
Hongera sana Nyota imeisaidia Tanzania Kushinda
 
We jamaa ulinipa matumain kumbe bora niendelee kutoamini izo habari zenu......


Stupid kabisa.....!
Alisema mambo yatabadilika kama watafusha kwahyo huwez jua mzee
 
Nyie ndo sababu ya mpira wetu kutoendelea
 
Mkuu hawa watu wametumia mbalamwezi baada ya sisi kutumia nyota.
 
Konyoooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…