ram
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,326
- 8,505
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]you made my evening.....lol!Wewe hukijui kichwa cha mwendawazimu kumbe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]you made my evening.....lol!Wewe hukijui kichwa cha mwendawazimu kumbe.
Hii thread imenifanya nicheke sana aisee....Khaaa!Uwanjani ni mpira sio manyota nyota.
Nyota tangu lini ikasema si ndo uongo wenyewe huu.
Nadhani amekijua sasaWewe hukijui kichwa cha mwendawazimu kumbe.
Hongera sana Nyota imeisaidia Tanzania KushindaTaifa stars lesotho
18
Mechi itachezwa tarehe 18 na namba 18 ni shufa inagawanyika kwa mbili..Tanzania namba yake ya kitabibu ni 20,Lesotho namba yake kitabibu ni 12 hivyo Tanzania na Lesotho wote wans namba shufa.
T=20+1=21+9=20
L=12+5=17+18=35
Tanzania mechi hii watashinda uhakika kwa 100% sababu namba ya siku na tarehe na nyota inaibeba Taifa stars ..41 ni namba witiri na mwezi 11 ni witiri na siku yakuchezwa mechi jumapili hutawaliwa na nyota ya jus hivyo kitabibu lesotho kazi wanayo...pia Taifa stars nyota yao ni ya Nge hivyo huu ndio mwezi wake kinyota wanaendana sababu november hutawaliwa na Nge wakati lesotho nyota yao ni ya mashuke.
Lesotho iliwapindue matokeo inabidi wajisafishe kwa kufanya mafusho na mafusho yao ni kisti,sandarusi na vijiti vya kahawia pamoja na kafuru na wafanye mafusho haya kuanzia saa sita mchana hadi saa saba mchana..
Sioni sababu au haja ya mashabiki kusafiri kwenda kuipa sapoti mechi..mechi ishaisha
[emoji41][emoji41]Wewe hukijui kichwa cha mwendawazimu kumbe.
[emoji41][emoji41]
Alisema mambo yatabadilika kama watafusha kwahyo huwez jua mzeeWe jamaa ulinipa matumain kumbe bora niendelee kutoamini izo habari zenu......
Stupid kabisa.....!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kichwa cha mwendawazimu hakina nyotaWewe hukijui kichwa cha mwendawazimu kumbe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nyota hazisomi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kichwa cha mwendawazimu hakina nyota
Nyie ndo sababu ya mpira wetu kutoendeleaTaifa stars lesotho
18
Mechi itachezwa tarehe 18 na namba 18 ni shufa inagawanyika kwa mbili..Tanzania namba yake ya kitabibu ni 20,Lesotho namba yake kitabibu ni 12 hivyo Tanzania na Lesotho wote wans namba shufa.
T=20+1=21+9=20
L=12+5=17+18=35
Tanzania mechi hii watashinda uhakika kwa 100% sababu namba ya siku na tarehe na nyota inaibeba Taifa stars ..41 ni namba witiri na mwezi 11 ni witiri na siku yakuchezwa mechi jumapili hutawaliwa na nyota ya jus hivyo kitabibu lesotho kazi wanayo...pia Taifa stars nyota yao ni ya Nge hivyo huu ndio mwezi wake kinyota wanaendana sababu november hutawaliwa na Nge wakati lesotho nyota yao ni ya mashuke.
Lesotho iliwapindue matokeo inabidi wajisafishe kwa kufanya mafusho na mafusho yao ni kisti,sandarusi na vijiti vya kahawia pamoja na kafuru na wafanye mafusho haya kuanzia saa sita mchana hadi saa saba mchana..
Sioni sababu au haja ya mashabiki kusafiri kwenda kuipa sapoti mechi..mechi ishaisha
KonyooooooTaifa stars lesotho