Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
- #21
ndefu hatari, tuma audio
Pyepye! Pyepye!
ndefu hatari, tuma audio
Usaliti kila kona
🚮🚮🚮Tangia lini CHADEMA wakawa na akili. Hata mimi nikienda leo CHADEMA utashangaa yananipa Uwenyekiti wa chama Taifa pamoja na kunipa nafasi ya kugombea Ubunge. Yaani akili zao CHADEMA wanazijua wao wenyewe. Kwanza inatakiwa washikishwe adabu vizuri mpaka akili ziwakae sawa. Utashangaa hapa hapa wanakuja kunitukana matusi bila sababu😄😄.
CCM ilishakufa au ilishajichokea.Tunatazama!
Bila kupoteza nafasi na muda. Nitaeleza kile ambacho Chadema wanakabiliana nacho kinachotokana na nyufa na weaknesses ambazo CCM na serikali wamekuwa wakizitumia mara kwa mara.
Utekaji na mauaji hiyo tutakemea kwa sababu sio sehemu ya mchezo na pia ni uvunjifu wa Haki za binadamu.
Kwenye pambano lolote kuna mambo unatakiwa uyazingatie. Mambo hayo ni pamoja na haya;
1. Know your enemy (KYE)
Kanuni hii kinyume chake ni hakikisha adui yako hakujui vizuri na hii itamaanisha ufiche madhaifu yako kadiri uwezavyo.
Kwenye vita kuna madhaifu ya aina mbili;
a) Kutokuwa na kitu au kupungukiwa na kitu.
b) udhaifu wa Ubora.
Udhaifu wa ubora ni pale adui anajua wewe ni Bora katika nini. Na hivyo atatumia ubora wako kujihami au kukuzuia usipate nafasi ya kutumia ubora wako.
Hii tunasema ubora unapogeuka udhaifu wako.
2. Shabaha ya vita/malengo ya pambano.
Vita yoyote inamalengo. Malengo ya vita ni sehemu ya mambo ya muhimu yanayoamua utumie mbinu na silaha gani. Mbinu na silaha utakazotumia lazima zilenge kufikia malengo.
3. Ramani na mchoro wa Vita/ pambano.
Vita yoyote kabla hujaingia lazima uwe na Ramani na mchoro wake. Lazima calculations zifanyike, ujue itatumika gharama gani na itachukua muda gani.
Huwezi ingia kwenye vita au pambano ambalo huna mchoro wake. Hujui utatumia muda gani na hiyo itakufanya usijue na gharama.
Ramani ya vita inakuwa na vitu au mambo yafuatayo;
1. Wahusika wakuu WA vita
2. Wahusika wanaotarajiwa kujitokeza kumuunga mkono adui yako.
3. Wahusika watakaokuunga Mkono
4. Muda ambao wahusika wa pande mbili watajiunga au kujiengua kwenye vita.
5. Gharama zinazohitajika.
6. Kurahisisha vita kwa kutumia rasilimali za adui yako. Mbinu gani zitatumika kwa muda gani.
7. maeneo nyeti ya adui
8. Exist Door ya vita. Ikiwa vita itakushinda utakimbiaje.
9. Ikiwa Vita vitamshinda adui ata-escape vipi. Mlango upi autumie
10. Dalili zipi za awali zitaonyesha vita nimeshinda au nimeshindwa.
4. Numbers Matter.
Ni muhimu kujua idadi ya rasilimali ulizonazo zitakazotumika na rasilimali za adui yako.
Hii pia itakusaidia kwenye Kupanga mikakati.
5. Is it war time? WAKATI.
Kwenye vita au pambano lolote. Lazima uzingatie muda/wakati. Je ni wakati wa kuanzisha vita?
Lazima uchague wakati unaoku-favour wewe. Usikurupuke!
Usije ukawa kama Hamas. Utapigwa uchakae.
6. Size and nature of your Enemy!
Je adui unayepambana naye ni mkubwa kiasi gani? Hii inafanana na Know your enemy.
Adui hata awe Mkubwa vipi ukiweza kufanya timing nzuri na kupiga weakness yake au ukimvamia kwa kushtukiza akiwa amechoka au dhaifu lazima umdondoshe.
Haya hayo nisieleze Sana.
Chadema nyufa zake ni kama ifuatavyo;
1. Umaskini na njaa!
Wanachama wengi wa Chadema wananjaa. Hii inawarahisishia CCM kuwarubuni na kuwatumia Kwa namna yoyote watakayo.
Ni vijana au wanachama wachache Sana ambao ni waaminifu licha ya njaa na umaskini wao.
2. Spirit ya uanaharakati na kutetea Hali.
Hii ni strength lakini pia huweza kutumiwa kama udhaifu.
Kikawaida wanaharakati wengi ni wale wenye Njaa au wanaotoka maisha ya chini. Nadra Sana umkute mtoto wa tajiri au mtawala akiwa mwanaharakati.
Spirits ya uanaharakati bila mikakati na mipango ni udhaifu. Hii CCM huitumia kuwatumia Wanaharakati wa Chadema kwa kuwatumia viongozi mamluki waliopo chadema. Wakija kushtuka walishatumika. Hii imejitokeza mara kadhaa!
3. Chadema ni rahisi kumwamini mwanaharakati yeyote Bila kumchunguza.
Hii hupelekea mara nyingi kuchukua mamluki kibao.
Ni Muhimu kufanya vetting ya kutosha katika kusajili viongozi wa chama.
Vetting inatakiwa ifanywe na wale watu wenye jicho la tatu, majasusi au waliosomea saikolojia ya mwili na Tabia za binadamu.
4. Chadema hawana uwezo wa ku-Focus.
Hii inatokana na ndani yao kuna Mamluki kibao. Wanawapoteza kwenye target.
Mfano, walitakiwa washikilie msimamo wa katiba tangu 2012. Kama wangesimama na lengo Moja sasa hivi wangekuwa mbali.
5. Chadema wanategemea Mabeberu /wazungu kama sehemu ya msaada muhimu Katika vita yao. Huu no udhaifu.
Chadema hawajui kuwa haohao Wazungu wanategemewa na CCM.
Unaenda kumshtaki CCM kwa Mtu ambaye ndiye nguzo yake
Sijui kwa nini chadema hawalioni hili. Wazungu na CCM lao ni Moja.
Ingawaje kwa harakaharaka huwezi kuliona hilo.
CCM kwa kujua udhaifu huo, wao hujifanya wapo kinyume na wazungu ili kupata uungwaji Mkono na wananchi wa kawaida wasiojua hili wala lile.
Chadema kama ilikuwa inataka ushindi kwa CCM lazima ingejitenga na wazungu itafute mbinu wanazozijua wao wenyewe.
Wazungu wanachofanya ni danganya toto. Huku pesa wanazowapa zinatoka hukohuko CCM, Tanzania ambazo pesa hizo huziita za msaada.
Anyway! Acha nipumzike. Usiku umeingia!
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
CCM ilishakufa au iloshajichokea.
Kwasasa CCM haifanyi kabisa siasa.
Siasa zote za CCM kupamabana CHADEMA zinafanywa na taasisi za umma na Dola, kuanzia:
- Polisi
- Mahakama
- Wakurugenzi
- RCs/DCs
- Goons/Mahuni
- Msajili wa vyama
Ukiangakia hao wote wako UKINGONI wanapambana na CHADEMA.
Na hapa issue siyo CHADEMA bali ni UMMA unaotafuta MBADALA.
Maana CHAGUZI ni kwaajili ya watu na siyo WANASIASA.
Ukiangalia kesi zote za Mahakamani, huwa yanatumika MABAVU tu, wala siyo kwamba kuna taratibunza kisheria hufanyika.
Mwisho, CCM wanaoogana na kotu amabacho HAWAKIJUI.
CHADEMA ni Jina tu.
Ilikuwepo NCCR MAGEUZI, ikaja CUF na sasa CHADEMA.
Issue siyo vyama ni WATU.
Siku zote watu wanakupinga watakuwepo tu. Heche na Lissu wasipokuwepo, Uoiznani utakuwepo tu, hata kama ikibaki CCM pekee dunia hii MILELE na MILELE.
Wameuawa kina Ally Kibao, .awazo, Mdude, Ben Sanane, Kimepungua nini???
Utaua kila mtu???
Ungejipa nafasi ya kuangalia cdm ya Mbowe na Lisu kwanza. Cdm ulliyoizungumzia kwa asilimia kubwa ni ya akina Mbowe na Mrema.
weakness kubwa za Chadema ni 1 moja hawana pesa zao kujitosheleza wanategemea serikali kuishi 2 hawana upendeleo wa dola na changamoto kubwa mifumo haiwapi uwanja sawa. Nguvu yako kubwa ni kukubalika na wananchi na jumuiya ya kimataifa.
nimelisema sana hili humu na watu wamekuwa wakinitukana. changamoto kubwa ya chadema ni hizi;Tunatazama!
Bila kupoteza nafasi na muda. Nitaeleza kile ambacho Chadema wanakabiliana nacho kinachotokana na nyufa na weaknesses ambazo CCM na serikali wamekuwa wakizitumia mara kwa mara.
Utekaji na mauaji hiyo tutakemea kwa sababu sio sehemu ya mchezo na pia ni uvunjifu wa Haki za binadamu.
Kwenye pambano lolote kuna mambo unatakiwa uyazingatie. Mambo hayo ni pamoja na haya;
1. Know your enemy (KYE)
Kanuni hii kinyume chake ni hakikisha adui yako hakujui vizuri na hii itamaanisha ufiche madhaifu yako kadiri uwezavyo.
Kwenye vita kuna madhaifu ya aina mbili;
a) Kutokuwa na kitu au kupungukiwa na kitu.
b) udhaifu wa Ubora.
Udhaifu wa ubora ni pale adui anajua wewe ni Bora katika nini. Na hivyo atatumia ubora wako kujihami au kukuzuia usipate nafasi ya kutumia ubora wako.
Hii tunasema ubora unapogeuka udhaifu wako.
2. Shabaha ya vita/malengo ya pambano.
Vita yoyote inamalengo. Malengo ya vita ni sehemu ya mambo ya muhimu yanayoamua utumie mbinu na silaha gani. Mbinu na silaha utakazotumia lazima zilenge kufikia malengo.
3. Ramani na mchoro wa Vita/ pambano.
Vita yoyote kabla hujaingia lazima uwe na Ramani na mchoro wake. Lazima calculations zifanyike, ujue itatumika gharama gani na itachukua muda gani.
Huwezi ingia kwenye vita au pambano ambalo huna mchoro wake. Hujui utatumia muda gani na hiyo itakufanya usijue na gharama.
Ramani ya vita inakuwa na vitu au mambo yafuatayo;
1. Wahusika wakuu WA vita
2. Wahusika wanaotarajiwa kujitokeza kumuunga mkono adui yako.
3. Wahusika watakaokuunga Mkono
4. Muda ambao wahusika wa pande mbili watajiunga au kujiengua kwenye vita.
5. Gharama zinazohitajika.
6. Kurahisisha vita kwa kutumia rasilimali za adui yako. Mbinu gani zitatumika kwa muda gani.
7. maeneo nyeti ya adui
8. Exist Door ya vita. Ikiwa vita itakushinda utakimbiaje.
9. Ikiwa Vita vitamshinda adui ata-escape vipi. Mlango upi autumie
10. Dalili zipi za awali zitaonyesha vita nimeshinda au nimeshindwa.
4. Numbers Matter.
Ni muhimu kujua idadi ya rasilimali ulizonazo zitakazotumika na rasilimali za adui yako.
Hii pia itakusaidia kwenye Kupanga mikakati.
5. Is it war time? WAKATI.
Kwenye vita au pambano lolote. Lazima uzingatie muda/wakati. Je ni wakati wa kuanzisha vita?
Lazima uchague wakati unaoku-favour wewe. Usikurupuke!
Usije ukawa kama Hamas. Utapigwa uchakae.
6. Size and nature of your Enemy!
Je adui unayepambana naye ni mkubwa kiasi gani? Hii inafanana na Know your enemy.
Adui hata awe Mkubwa vipi ukiweza kufanya timing nzuri na kupiga weakness yake au ukimvamia kwa kushtukiza akiwa amechoka au dhaifu lazima umdondoshe.
Haya hayo nisieleze Sana.
Chadema nyufa zake ni kama ifuatavyo;
1. Umaskini na njaa!
Wanachama wengi wa Chadema wananjaa. Hii inawarahisishia CCM kuwarubuni na kuwatumia Kwa namna yoyote watakayo.
Ni vijana au wanachama wachache Sana ambao ni waaminifu licha ya njaa na umaskini wao.
2. Spirit ya uanaharakati na kutetea Hali.
Hii ni strength lakini pia huweza kutumiwa kama udhaifu.
Kikawaida wanaharakati wengi ni wale wenye Njaa au wanaotoka maisha ya chini. Nadra Sana umkute mtoto wa tajiri au mtawala akiwa mwanaharakati.
Spirits ya uanaharakati bila mikakati na mipango ni udhaifu. Hii CCM huitumia kuwatumia Wanaharakati wa Chadema kwa kuwatumia viongozi mamluki waliopo chadema. Wakija kushtuka walishatumika. Hii imejitokeza mara kadhaa!
3. Chadema ni rahisi kumwamini mwanaharakati yeyote Bila kumchunguza.
Hii hupelekea mara nyingi kuchukua mamluki kibao.
Ni Muhimu kufanya vetting ya kutosha katika kusajili viongozi wa chama.
Vetting inatakiwa ifanywe na wale watu wenye jicho la tatu, majasusi au waliosomea saikolojia ya mwili na Tabia za binadamu.
4. Chadema hawana uwezo wa ku-Focus.
Hii inatokana na ndani yao kuna Mamluki kibao. Wanawapoteza kwenye target.
Mfano, walitakiwa washikilie msimamo wa katiba tangu 2012. Kama wangesimama na lengo Moja sasa hivi wangekuwa mbali.
5. Chadema wanategemea Mabeberu /wazungu kama sehemu ya msaada muhimu Katika vita yao. Huu no udhaifu.
Chadema hawajui kuwa haohao Wazungu wanategemewa na CCM.
Unaenda kumshtaki CCM kwa Mtu ambaye ndiye nguzo yake
Sijui kwa nini chadema hawalioni hili. Wazungu na CCM lao ni Moja.
Ingawaje kwa harakaharaka huwezi kuliona hilo.
CCM kwa kujua udhaifu huo, wao hujifanya wapo kinyume na wazungu ili kupata uungwaji Mkono na wananchi wa kawaida wasiojua hili wala lile.
Chadema kama ilikuwa inataka ushindi kwa CCM lazima ingejitenga na wazungu itafute mbinu wanazozijua wao wenyewe.
Wazungu wanachofanya ni danganya toto. Huku pesa wanazowapa zinatoka hukohuko CCM, Tanzania ambazo pesa hizo huziita za msaada.
Anyway! Acha nipumzike. Usiku umeingia!
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Kwani hiyo ni ajabu?Hata mimi nikienda leo CHADEMA utashangaa yananipa Uwenyekiti wa chama Taifa pamoja na kunipa nafasi ya kugombea Ubunge.
..mifumo yetu inafuga wasaliti.
nimelisema sana hili humu na watu wamekuwa wakinitukana. changamoto kubwa ya chadema ni hizi;
1. wanatumia nguvu badala ya akili, wakiumia wanaomba huruma kwa wananchi na nchi za nje badala ya kupambana wenyewe. wanaowategemea wakiwapa kisogo wanakwisha.
2. mamluki, wengi waliomo ndani wamenunuliwa, vikao vyote viko uchi na mipango yao yote ipo uchi.
3. pesa, chama hakina pesa.
Kwasasa CCM inaamini kwenye kugawa gawa vipesa pesa ndio njia.Mitandaoni upepo upo kivingine.
Watu kujitambulisha kama CCM kwa SASA wengi wanaona ni kipengele
Ambacho wamekifanya kina Mrema na kigaila kwa kweli ni huzuni.
Hili linahitaji tafakuri kubwa, sio lelemama. Mizizi ya ccm imezama ndani sana, kuing'oa huenda hata damu ikamwagika. Ni miaka zaidi ya 40 ccm wapo tu, tunatumia katiba ya miaka 40+ iiyopita ambayo inampa mtawala umungu mtu.Wanafanyaje kutoka hapa?
Naona wamekulipa kukutuma ufanye spinning mwanawane.Tunatazama!
Bila kupoteza nafasi na muda. Nitaeleza kile ambacho Chadema wanakabiliana nacho kinachotokana na nyufa na weaknesses ambazo CCM na serikali wamekuwa wakizitumia mara kwa mara.
Utekaji na mauaji hiyo tutakemea kwa sababu sio sehemu ya mchezo na pia ni uvunjifu wa Haki za binadamu.
Kwenye pambano lolote kuna mambo unatakiwa uyazingatie. Mambo hayo ni pamoja na haya;
1. Know your enemy (KYE)
Kanuni hii kinyume chake ni hakikisha adui yako hakujui vizuri na hii itamaanisha ufiche madhaifu yako kadiri uwezavyo.
Kwenye vita kuna madhaifu ya aina mbili;
a) Kutokuwa na kitu au kupungukiwa na kitu.
b) udhaifu wa Ubora.
Udhaifu wa ubora ni pale adui anajua wewe ni Bora katika nini. Na hivyo atatumia ubora wako kujihami au kukuzuia usipate nafasi ya kutumia ubora wako.
Hii tunasema ubora unapogeuka udhaifu wako.
2. Shabaha ya vita/malengo ya pambano.
Vita yoyote inamalengo. Malengo ya vita ni sehemu ya mambo ya muhimu yanayoamua utumie mbinu na silaha gani. Mbinu na silaha utakazotumia lazima zilenge kufikia malengo.
3. Ramani na mchoro wa Vita/ pambano.
Vita yoyote kabla hujaingia lazima uwe na Ramani na mchoro wake. Lazima calculations zifanyike, ujue itatumika gharama gani na itachukua muda gani.
Huwezi ingia kwenye vita au pambano ambalo huna mchoro wake. Hujui utatumia muda gani na hiyo itakufanya usijue na gharama.
Ramani ya vita inakuwa na vitu au mambo yafuatayo;
1. Wahusika wakuu WA vita
2. Wahusika wanaotarajiwa kujitokeza kumuunga mkono adui yako.
3. Wahusika watakaokuunga Mkono
4. Muda ambao wahusika wa pande mbili watajiunga au kujiengua kwenye vita.
5. Gharama zinazohitajika.
6. Kurahisisha vita kwa kutumia rasilimali za adui yako. Mbinu gani zitatumika kwa muda gani.
7. maeneo nyeti ya adui
8. Exist Door ya vita. Ikiwa vita itakushinda utakimbiaje.
9. Ikiwa Vita vitamshinda adui ata-escape vipi. Mlango upi autumie
10. Dalili zipi za awali zitaonyesha vita nimeshinda au nimeshindwa.
4. Numbers Matter.
Ni muhimu kujua idadi ya rasilimali ulizonazo zitakazotumika na rasilimali za adui yako.
Hii pia itakusaidia kwenye Kupanga mikakati.
5. Is it war time? WAKATI.
Kwenye vita au pambano lolote. Lazima uzingatie muda/wakati. Je ni wakati wa kuanzisha vita?
Lazima uchague wakati unaoku-favour wewe. Usikurupuke!
Usije ukawa kama Hamas. Utapigwa uchakae.
6. Size and nature of your Enemy!
Je adui unayepambana naye ni mkubwa kiasi gani? Hii inafanana na Know your enemy.
Adui hata awe Mkubwa vipi ukiweza kufanya timing nzuri na kupiga weakness yake au ukimvamia kwa kushtukiza akiwa amechoka au dhaifu lazima umdondoshe.
Haya hayo nisieleze Sana.
Chadema nyufa zake ni kama ifuatavyo;
1. Umaskini na njaa!
Wanachama wengi wa Chadema wananjaa. Hii inawarahisishia CCM kuwarubuni na kuwatumia Kwa namna yoyote watakayo.
Ni vijana au wanachama wachache Sana ambao ni waaminifu licha ya njaa na umaskini wao.
2. Spirit ya uanaharakati na kutetea Hali.
Hii ni strength lakini pia huweza kutumiwa kama udhaifu.
Kikawaida wanaharakati wengi ni wale wenye Njaa au wanaotoka maisha ya chini. Nadra Sana umkute mtoto wa tajiri au mtawala akiwa mwanaharakati.
Spirits ya uanaharakati bila mikakati na mipango ni udhaifu. Hii CCM huitumia kuwatumia Wanaharakati wa Chadema kwa kuwatumia viongozi mamluki waliopo chadema. Wakija kushtuka walishatumika. Hii imejitokeza mara kadhaa!
3. Chadema ni rahisi kumwamini mwanaharakati yeyote Bila kumchunguza.
Hii hupelekea mara nyingi kuchukua mamluki kibao.
Ni Muhimu kufanya vetting ya kutosha katika kusajili viongozi wa chama.
Vetting inatakiwa ifanywe na wale watu wenye jicho la tatu, majasusi au waliosomea saikolojia ya mwili na Tabia za binadamu.
4. Chadema hawana uwezo wa ku-Focus.
Hii inatokana na ndani yao kuna Mamluki kibao. Wanawapoteza kwenye target.
Mfano, walitakiwa washikilie msimamo wa katiba tangu 2012. Kama wangesimama na lengo Moja sasa hivi wangekuwa mbali.
5. Chadema wanategemea Mabeberu /wazungu kama sehemu ya msaada muhimu Katika vita yao. Huu no udhaifu.
Chadema hawajui kuwa haohao Wazungu wanategemewa na CCM.
Unaenda kumshtaki CCM kwa Mtu ambaye ndiye nguzo yake
Sijui kwa nini chadema hawalioni hili. Wazungu na CCM lao ni Moja.
Ingawaje kwa harakaharaka huwezi kuliona hilo.
CCM kwa kujua udhaifu huo, wao hujifanya wapo kinyume na wazungu ili kupata uungwaji Mkono na wananchi wa kawaida wasiojua hili wala lile.
Chadema kama ilikuwa inataka ushindi kwa CCM lazima ingejitenga na wazungu itafute mbinu wanazozijua wao wenyewe.
Wazungu wanachofanya ni danganya toto. Huku pesa wanazowapa zinatoka hukohuko CCM, Tanzania ambazo pesa hizo huziita za msaada.
Anyway! Acha nipumzike. Usiku umeingia!
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Hili linahitaji tafakuri kubwa, sio lelemama. Mizizi ya ccm imezama ndani sana, kuing'oa huenda hata damu ikamwagika. Ni miaka zaidi ya 40 ccm wapo tu, tunatumia katiba ya miaka 40+ iiyopita ambayo inampa mtawala umungu mtu.
Hata hivyo bado nawapongeza wenye uthubutu huko upinzani, sio rahisi.
Punguza uchawa dogo 🤔🤔 acha kujitoa ufahamuTunatazama!