Nyufa , weaknesses walizonazo Chadema ambazo CCM na serikali mara kwa Mara huzitumia kuwavuruga

Nyufa , weaknesses walizonazo Chadema ambazo CCM na serikali mara kwa Mara huzitumia kuwavuruga

Umezunguka saana, mchawi wa CDM ni Tapeli Mbowe. Anapaswa kuondolewa kwenye nafasi yake ya ujumbe wa kudumu haraka, na kisha Mwenyekiti wake wa tawi kumvua uanachama aelekee kwenye chama chake cha CHAUMMA.
 
1. wanatumia nguvu badala ya akili
Chadema imetumia nguvu ipi? Kwani toka Lissu ameshika uenyekiti umesikia maandamano yasiyo na kibali au fujo yoyote?

Anyway kama ni kususia uchaguzi, Kwahiyo mnashauri chadema ingeshiriki uchaguzi wakati itaibiwa tu kama 2019,2020 na 2024 au hoja ni ipi?.

Yaani wafanyeje sasa kwa mazingira ya sasa?
 
watu wabishi kama wewe ndio wanaishauri chadema vibaya ili ipotee. ccm wanatumia akili sana kuwazidi. hata ukiona wametumia nguvu ni kwamba wanataka kuwasogeza kwenye mtego wao mnase mshindwe kutoka kama sasahivi. sijui mtaelewa lini au mamluki ninyi ndio mnawapotosha viongozi wenu?
 
Wewe ndio hujitambui sasa, nimekuuliza chadema wametumia nguvu gani? Mfano wamekataa kushiriki uchaguzi sasa CCM si ndio wangewasifia maana watapita bila kupingwa?

Alternatively ulitaka chadema washiriki uchaguzi waporwe majimbo yote alafu wapewe viti maalum 10 ili maisha yaendelee? Tena kwa cost ya watu kuuwawa wengine kuenguliwa hata kabla ya uchaguzi!!

Hivi mbona nchi ina watu wapumbavu sana.

Ambacho haujui CHADEMA ikibanwa ina maana wale opponents wote wa Mama watakosa alternative ya kumuondoa kwa demokrasia so itatumika mbinu kama iliyomuondoa JPM.

Mtu yoyote mwenye akili anajua hilo, the day chadema dies Samia won't be part of the victory parade!! I rest my case
 
Back
Top Bottom