Chadema imetumia nguvu ipi? Kwani toka Lissu ameshika uenyekiti umesikia maandamano yasiyo na kibali au fujo yoyote?
Anyway kama ni kususia uchaguzi, Kwahiyo mnashauri chadema ingeshiriki uchaguzi wakati itaibiwa tu kama 2019,2020 na 2024 au hoja ni ipi?.
Yaani wafanyeje sasa kwa mazingira ya sasa?