Nyuki wavamia wana Jubilee na polisi supreme court

Nyuki wavamia wana Jubilee na polisi supreme court

Endelea kuamini kila kitu ni uchawi uone ka hautakufa masikini. Kasome acha ujinga
Mimi nashukuru kwa kunifumbua macho[emoji102] [emoji120] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji120]
 
dunia haiwezi kwisha ndugu kwa jambo dogo hivi.
ni sayansi kwa mujibu wa mshana jr.
mshana ebu fanya watuletee na sisi kuna mtu atumiwe anasema eti haongezi mshaara, tuone kama wale walinzi wanyaruanda watawapiga nyuki virungu.
big up wakenya mmepiga hatua aljazira na BBC watutangaze afrika mashariki kwa bomu letu jipya na tupo tayari kumn'goa Trup
haha aaahaaa
Umenichekesha kweli kweli, eti Bomu letu!!!
 
[emoji219] [emoji219] [emoji219] [emoji219] [emoji219] Hili kweli Bom[emoji1] [emoji1]
 
eti wanasema gagula aliyetuma hii maneno ni m-TZ!
 
Wailete na huku tuipeleke Ikulu


Swissme
 
Back
Top Bottom