Mimi nashukuru kwa kunifumbua macho[emoji102] [emoji120] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji120]Endelea kuamini kila kitu ni uchawi uone ka hautakufa masikini. Kasome acha ujinga
Umenichekesha kweli kweli, eti Bomu letu!!!dunia haiwezi kwisha ndugu kwa jambo dogo hivi.
ni sayansi kwa mujibu wa mshana jr.
mshana ebu fanya watuletee na sisi kuna mtu atumiwe anasema eti haongezi mshaara, tuone kama wale walinzi wanyaruanda watawapiga nyuki virungu.
big up wakenya mmepiga hatua aljazira na BBC watutangaze afrika mashariki kwa bomu letu jipya na tupo tayari kumn'goa Trup
haha aaahaaa
Yaani ni Bonge la Bomu Hatari mnooh![emoji219] [emoji219] [emoji219] [emoji219] [emoji219] Hili kweli Bom[emoji1] [emoji1]
Ikinyunyi nimependa hilo jina bilashaka ninajua maana yake,[emoji102]
Hahahaa....lina maana gn kikwenu mkuu?Ikinyunyi nimependa hilo jina bilashaka ninajua maana yake,
Tehe tehe tehe tehe eeeehhh.