Nyuma ya AKAUNTI ZA MITANDAO, kuna nafsi zetu

Inasikitisha sana mkuu
 
Kuna watu wanataka kulazimisha kua,jinsi walivyo wao humu JF na kitaani,wanafikiri sisi wote tupo kama wao!

Mie nilikuwa na tabia zangu halisi wakati ule najiunga JF

Baada ya kujua JF ni uwanja wa vita nikabadilika mazima...kuwa na two personalities ni very possible
 
Kwanza nna aibu sana na mtu anayenifahamu atakubishia hadi kesho kwamba natukana

Maisha yangu halisi hata neno mjinga sijawahi kumwambia mtu 😁
Dahh aisee basi naanza rasmi kurusha ndoano kwa Joanah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…