Nyuma ya AKAUNTI ZA MITANDAO, kuna nafsi zetu

Ila bangi haina shida , kuna siku nililewa , pombe ikanituma nikanunue bangi nivute, niliona tu kama pombe imepanda kichwani zaidi kuliko kiasi nilicho kunywa
Hujatapika mzee? Mi nliwahi vuta nikiwa O level nikajua kabisa hivi siyo vitu vyangu, nikajaribu tena kipindi nikiwa JKT mujibu wa sheria tulikua tunapiga jembe pembeni ya mto Ruvu jasho lilinitoka kinoma nlilima mpaka walionipa wakagundua na kichwa chepesi.
 
Hapana sijatapika ila niliona kama pombe inapanda sana halafu kama naona jinsi mawazo yangu yanavyo flow kwa ubongo , ni majuzi tu hapa
 
Ngoja tuone binti kiziwi yeye ana maoni gani?
😅😅😅 Natumai mmempa muongozo.

Pia naunga mkono hoja ya mleta mada, sisi wakristo tunaamini “kimtokacho mtu ndicho kiujazacho moyo wake”. Huwezi kutoa kitu ambacho hauna that’s including mawazo, maandishi etc.

Lakini kwenye hili lazima tupeane grace, binadamu yoyote ana pande mbili, ya utu uzima na utoto ambao huwa hauondoki, sasa mtu akichoka kuwa mtu mzima anaweza tumia part yake ya utoto kujiendesha kwa mambo yasiyohitaji usiriaz.

Na watu wengine wanakuwa governed na morality, truth is hakuna asiyejua ubaya, anachagua tu kutokufanya ubaya (moral) Sasa ukitaka kujua ubaya wake, mchokoze akuoneshe show. Ndio unakuta mtu ni mstaarabu tu ila umem-press amekuosha na maneno.
 
Bay wa peace, bay wa food 😊

Umesomeka vyema maalimu
 
Umepuyanga mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…