Nyuma ya AKAUNTI ZA MITANDAO, kuna nafsi zetu

 
Uzuri wa JF kila member ana li parody lake la kujizima data ndani ya hiyo fake id.
Ku judge ni kazi labda ingekuwa hakuna matipo humu ningekubaliana na usemalo..!!

Unaweza kukuta bichwa komwe ni britanicca Sasa hapo utashika kipi?
 
Unajua je? Na ikiwa humu huwezi kujua I’d ipi ni ipi?

Hata wewe baba mtakatifu kumbe kwenye id yako nyingine unakuta ni udugu wangu cocastic 😹😹
Haipo hivyo unaguess tu mkuu mi na ID moya tu by the way siwezi mkosea Mungu angali bado ni kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…