ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Kipindi Cha corona wote tulishuhudia ulimwengu wote ukilazimishwa kutii maagizo ya kukaa ndani (lockdown) na nguvu inayotenda Sirini ya mpinga Kristo.
Mdogo mdogo tumeshuhudia jinsi Russia, taifa lenye nguvu kubwa ya KIJESHI baada ya USA linavyohangaika Kwenye vita yake dhidi ya Ukraine. Lakini tumeshuhudia pia China anavyobanwa na Marekani kuhusu Taiwan.
Wote tulishuhudia jinsi Raisi XI alivyodhalauliwa na Marekani kuhusiana na ziara ya speaker Perosi.
Kinachoendelea Korean peninsula Sasa ni kumtisha na kummaliza KIDUKU. Lakini vilevile middle east Israel kawekwa kuwashughulikia wa Arabu.
Tusisahau pia Dunia nzima uchumi umeyumba na huyu mtawala atakuja na gear ya kurekebisha uchumi wa dunia kumbe ndiyo ataleta uharibifu mkubwa. Utawala huu utakuwa na nguvu kubwa pia katili.
Mdogo mdogo mambo haya yanaanza kutimia machoni petu. Tuwe makini, Kuna hatari kubwa Iko mbeleni. Mwamini Yesu ili uokolewe na haya