Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
You are not serious my fella.Aah wewe usinidanganye mimi najua kuna faida ya kuwa na mwanamke kuliko kutokuwa naye.. Bila mwanamke kufilisika rahisi ila ukimpata mwanamke wa kukupenda na kukujali anaweza kuanzisha miradi na akasimamia hasa ukiwa busy na kazi zako huko hence ana faida..
Wewe unaongelea mtu mmoja mmoja mimi naongelea hali jumuishi iliyopo kwenye jamii. Unapomtongoza mwanamke mpaka anakukubalia jua kwamba ashafanya short terms and long terms calculation na kujua atanufaika vipi na wewe.Uongo wa hali ya juu sana!
Si wanawake wote wana roho uliyoichora kwenye uzi wako.
Nakumbuka kipindi niko deep down niliwahi kupata mwanamke mmoja hivi, nilimweleza hali halisi kabisa kwamba am broke na siwezi ku provide chochote so asitegemee kupewa hela ama any financial support kutoka kwangu..
Binti wa watu alitahamaki kwa ule ukweli lakini hakuniacha wala kunidharau kulingana na situation niliyokua napitia!
Cha ajabu ni kwamba yeye ndie aliyekua ana hustle sana kunitafutia Hela kidogo za nauli nilipokua nahitajika kwenye interview za kazi maeneo mbalimbali ya nchi
Good enough, she was sexually addicted, kila mara alikuwa anaileta, naichapa kama kawaida na akikuta ugali dagaa basi ndio inakua Food of the day.. No kulaumu No kuchagua
All these blames should not Face all women..
Tusichoke kuwaelewesha.Upo sahihi, ila vichwa ngumu hawatokuelewa abadani asilani.
View attachment 3041187
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
We tafuta ajira kwanza.. Siku ukipata kazi ya kuliwa million mbili halafu uishi mwenyewe au uwe na mtu ndo utajua tofaut..naongea Nina experience na hili sualaYou are not serious my fella.
Mnawatoaga wapi hawa wa hivyo dahh. Tunavyokutana navyo Mwisho unaona bora uishi kisingle single tuu.Uongo wa hali ya juu sana!
Si wanawake wote wana roho uliyoichora kwenye uzi wako.
Nakumbuka kipindi niko deep down niliwahi kupata mwanamke mmoja hivi, nilimweleza hali halisi kabisa kwamba am broke na siwezi ku provide chochote so asitegemee kupewa hela ama any financial support kutoka kwangu..
Binti wa watu alitahamaki kwa ule ukweli lakini hakuniacha wala kunidharau kulingana na situation niliyokua napitia!
Cha ajabu ni kwamba yeye ndie aliyekua ana hustle sana kunitafutia Hela kidogo za nauli nilipokua nahitajika kwenye interview za kazi maeneo mbalimbali ya nchi
Good enough, she was sexually addicted, kila mara alikuwa anaileta, naichapa kama kawaida na akikuta ugali dagaa basi ndio inakua Food of the day.. No kulaumu No kuchagua
All these blames should not Face all women..
Msaada wa mwanamke sio unconditional.Inategemea.
Kama mafanikio yako yametokana na kubebwa sana na mtu fulani, na huyo mtu ni mwanamke, basi umefanikiwa kupitia mwanamke....
Nina uhakika wapo wanaume wengi sana waliopitia huko
Mkuu hawa watoto tu wa mwaka 2000 wanazingua muda wao kwanza wa kukaa Na wanawake bado.. Me mkuu nikupe historia yangu tu Kwa ufupi wajifunze faida za kuwa na mtu... Niliajiriwa 2021 Taasisi fulani basi kweli nikapata mwanamke 2022 niwe mkweli pamoja na mapungufu yetu sote wanawake na wanaume ila nilikosana na mwanamke Kwa sababu ya pombe.. Kumbuka kipindi nakaa naye ndani tu ya mwaka nikapiga hatua sana Mpaka na ujenzi ni kaanza mixer kila kitu ndani na kausafiri ingawa mikopo pia ili husika... Ilikuja baadae tukaachana mwaka Jana.. Aisee ndani ya miezi Sita niliuza karibia vitu vya ndani vingi Nimesema hayo kuonyesha kwamba nyumba bila mwanamke haikamiliki wao ndo wenye jukumu la utunzaji na uangalizi.. Kijana wa kiume mambo ni mengi.. Anyway sasa hv naanza kurudi kwenye kukaa na mtu good news ni kwamba mwezi ujao tu mtu ndani ya nyumba uzuri kila kitu nimeiweka wazi na atavumilia... Mwenyewe mwenyewe unapoteza kijana hasa ulevi na punyeto na uchafu.Uongo wa hali ya juu sana!
Si wanawake wote wana roho uliyoichora kwenye uzi wako.
Nakumbuka kipindi niko deep down niliwahi kupata mwanamke mmoja hivi, nilimweleza hali halisi kabisa kwamba am broke na siwezi ku provide chochote so asitegemee kupewa hela ama any financial support kutoka kwangu..
Binti wa watu alitahamaki kwa ule ukweli lakini hakuniacha wala kunidharau kulingana na situation niliyokua napitia!
Cha ajabu ni kwamba yeye ndie aliyekua ana hustle sana kunitafutia Hela kidogo za nauli nilipokua nahitajika kwenye interview za kazi maeneo mbalimbali ya nchi
Good enough, she was sexually addicted, kila mara alikuwa anaileta, naichapa kama kawaida na akikuta ugali dagaa basi ndio inakua Food of the day.. No kulaumu No kuchagua
All these blames should not Face all women..
SureAah wewe usinidanganye mimi najua kuna faida ya kuwa na mwanamke kuliko kutokuwa naye.. Bila mwanamke kufilisika rahisi ila ukimpata mwanamke wa kukupenda na kukujali anaweza kuanzisha miradi na akasimamia hasa ukiwa busy na kazi zako huko hence ana faida..
Sio lazima umtongoze mwanamke ndo akusaidie,Msaada wa mwanamke sio unconditional.
-inawezekana anakusaidia kwa sababu unamjulia kwenye mambo ya kitandani
-inawezekana anakusaidia kwa sababu hana chaguo jingine(sio pisi kali)
-inawezekana anafanya uwekezaji kwako akiwa na matarajio atapata faida hapo badae.
Mwanaume jua ya kwamba unapomtongoza mwanamke mpaka anakukubalia tayari ashafanya short terms and long terms calculations na kujua atanufaika vipi na wewe.
Ajira ipo mdogo angu muulize mama ako anapigwa miti na kuhongwa na nani atakupa habari zanguWe tafuta ajira kwanza.. Siku ukipata kazi ya kuliwa million mbili halafu uishi mwenyewe au uwe na mtu ndo utajua tofaut..naongea Nina experience na hili suala
We huniwezi kwa lolote kuanzia maisha, akili,.. We ni mdhaifu sana na ukitaka kuliamini kasome post zangu za nyuma zote halafu utajipima mwenyewe nani ana akiliAjira ipo mdogo angu muulize mama ako anapigwa miti na kuhongwa na nani atakupa habari zangu
Mwanamke anaetoa hela yake kumsaidia mwanaume kuna uwezekano mkubwa sana anafanya ivyo kwa kumganda uyo mwanaume sababu mwanamke uyo hana chaguo jingine yaani kimuonekano hauziki sokoniMnawatoaga wapi hawa wa hivyo dahh. Tunavyokutana navyo Mwisho unaona bora uishi kisingle single tuu.