Nyuma ya Pazia katika Massage Parlour

Nyuma ya Pazia katika Massage Parlour

Mkuu,niliingia kazini kuchunguza hii kitu kwa kufanyiwa massage sehemu zaidi ya sita,tena ni zile ambazo nilikuwa nazitilia shaka...lakini kusema ukweli sikukutana na haya mambo.

By the way nahisi mleta mada aliingia kwenye danguro na siyo sehemu ya Beauty clinic.
Sikatai kuwa haya mambo yapo ndani ya bongo ila napenda tuongee kwa fact,uhalisia,na ushahidi na siyo hisia.

Kaka sina haja ya kudanganya au kuleta mambo ya kihisia kuliko uhalisia...hii ipo,na inafanyika,haima ubishi mkuu
 
Labda mtoa mada angetu juza ni wapi alipoenda kupata hyo huduma
 
hhahaaahaa mtajipatia maradhi kibao, mabacteria, mafungus na hyo mitaulo. khaa kchefuchefu, raha ya massage ufanye/ufanyiwe na mwenzi wako tena mkiwa mko sehemu yenu na vifaa vyenu wenyewe.
 
kama wewe nimshindi na unamtegemea mungu utamshinda shetani. mimi nimshindi na ninamshinda shetani massage zote hizo nimefanya lakini sikufanya ngono hata siku moja. watu wanafanya uzinzi hata kama hawakufanyiwa massage . uzinzi yaani umalaya ukokwenye ubongo wako ,kamaubongo wako unataka kuzini utazini tu . mtegemee mungu atakulinda na ubongo wako utafanya maamzi sahihi ya kukataa zinaa
 
Niko job ...nmemaliza kusoma hii kitu nimejikuta Dushelele langu limetuna balaaa....Ni shidaaaaaaa
 
Unajiweza kuzuia dushelele lisianze kunyanyuka kwa muinuko wa slogani ya ”kidumu chama tawala“?

”Ole wao wale wasasabishao wenzao watende dhambi na kukwazika,ingelikuwa heri kwao wafungwe jiwe kubwa shingoni na kutupwa ktk kina cha bahari“

Mkuu ungetupia na majina machache ya hizo palour basi tuzijue na sisi, Kinondoni kubwa mkuu- ili tuziepuke
 
shida yote ya nini?huna mke au gf?kama unaye mwambie anunue nazi atengeneze mafuta ya nazi achanganye na hiriki na mchaichai akufanyie massage,anunue na vile foot massage akusugue gaga aweke slow muziki taa za kuvutia au asiwashe kabisa.Baada ya hapo atakushusha kitonga na atakuogesha.Utatoka msafiiiii na mwepesi mwisho unashushia na supu ya samaki.Kisha tunawaacha mrareeeeeeeeee

mna huo muda amu!!!?????mnajifanya mko bize mno nyie!.....''aku,nimfanyie hivyo kanioa!!??''.......na mkiolewa mnajifanya mko biiiize na watoto!!
mahaba ya hivi kwa nyie dada zetu,tena wenye kisomo kidogo......ni kama homa ya vipindi!kuna wakati nilisahau kabisa hata kujikata kucha mwenyewe.kama miezi mitatu hivi....baadae mambo haya yalipotea kimya kimya kama stori ya Rama mla - watu!

siku nikiona tu mambo haya yanarudi tena kwa kasi naanza kuwa na wasiwasi na ''invoice'' nitakayopigwa hapo au ndo itakuja ishu ya ''lini tunaenda kuwaona wazazi wako!!??''.
yaani full maigizo nyie...bora parlour tu zidumu!
 
Lst time kufanya massage ilikua pale msasani unisex massage parlour haaahaa nkaapa sirudii tena maana hii service ishaharibiwa na makahaba ht kwa ushauri wa Dr siendi tena,sema ivi vitu vilitakiwa viwepe kwny uhusiano basi tu.
 
Lst time kufanya massage ilikua pale msasani unisex massage parlour haaahaa nkaapa sirudii tena maana hii service ishaharibiwa na makahaba ht kwa ushauri wa Dr siendi tena,sema ivi vitu vilitakiwa viwepe kwny uhusiano basi tu.

mi kwakweli nafanya sana........kila baadad ya muda tu nitamsuprise na ka massage ka ukweli......japo mara nyingine inaishia ''ukanda wa gaza''!!

wao sasa!!kutwa instagram,twitter,badoo,viber na wachache JF!,kidogo tu ''guidotti time''..pumbav!!
 
Ukimwi hauwezi kuisha kwa hali hii, maana vivutio n vingi kuliko uwezo wa kuvizuia, ila m cjui kama huko ziko kondom? Nsaidien maana isije kuwa watu wanaunganishwa kwenye mtandao! Halafu nyie kina dada mnaona jinsi mnavyoibiwa? Changamken chukua hatua haraka
 
Back
Top Bottom