barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,880
- Thread starter
- #61
Mkuu,niliingia kazini kuchunguza hii kitu kwa kufanyiwa massage sehemu zaidi ya sita,tena ni zile ambazo nilikuwa nazitilia shaka...lakini kusema ukweli sikukutana na haya mambo.
By the way nahisi mleta mada aliingia kwenye danguro na siyo sehemu ya Beauty clinic.
Sikatai kuwa haya mambo yapo ndani ya bongo ila napenda tuongee kwa fact,uhalisia,na ushahidi na siyo hisia.
Kaka sina haja ya kudanganya au kuleta mambo ya kihisia kuliko uhalisia...hii ipo,na inafanyika,haima ubishi mkuu