Nyuma ya pazia kufungwa kwa wasafi festival;udini ulitawala onyesho

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Unaaambiwa swala hili lilowakera wanamuziki wakristo waliokuwa kwenye tamasha pamoja na uongozi wa juu wa basata na wizara kwa ujumla
Wanasema kila show kabla ya kuanza lazima shehe asome dua huku wakristo wakikatzwa kuomba kwa imani yao
Pia basi walilokuwa wakipanda muda wote lilikuwa likinukia ubani na udi
Shonza na mngereza walijuta kwenda kwenye uzinduzi mtwara maana back stage baada ya dua uliwashwa ubani wakajikuta mpaka wananunia harufu iyo badala ya perfume
 
Clouds digital mna kazi udini na wakati pombe zilikuwa zinanyweka kama njungu.sema mengine ila siyo hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thread zako nyingi umeiponda wcb bila shaka wewe ni shoga la mawingu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

ivi matendo yanayotendeka katika starehe unaweza kuyahusisha na dini kweli
Nguo tu wanazovaa hao wasanii wakike wanaweza hata kuitikia dua??
Hebu tuachen chuki
 
ivi matendo yanayotendeka katika starehe unaweza kuyahusisha na dini kweli
Nguo tu wanazovaa hao wasanii wakike wanaweza hata kuitikia dua??
Hebu tuachen chuki
Ulikuwepo backstage?
 
Sikuepo backstage wala kwenye hio shoo
nimeuliza uwezekano huo upo kwel
shekhe gan anaeijua dini anaenda kwenye tamasha la muziki au shekhe nae msanii??
labda kipozeo maana ni muajiliwa wa wasafi media
 
Write your reply...Muziki na dini ya kiislamu wapi na wapi
 
Dini na muziki wapi na wapi??!...
Kweli Muhammad kapatikana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…