aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,657
- 3,679
Unaaambiwa swala hili lilowakera wanamuziki wakristo waliokuwa kwenye tamasha pamoja na uongozi wa juu wa basata na wizara kwa ujumla
Wanasema kila show kabla ya kuanza lazima shehe asome dua huku wakristo wakikatzwa kuomba kwa imani yao
Pia basi walilokuwa wakipanda muda wote lilikuwa likinukia ubani na udi
Shonza na mngereza walijuta kwenda kwenye uzinduzi mtwara maana back stage baada ya dua uliwashwa ubani wakajikuta mpaka wananunia harufu iyo badala ya perfume