Nyuma ya Pazia: Nini hasa kinafanya wanawake walioolewa au walio kwenye mahusiano serious kuchepuka?

Paploman

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2019
Posts
1,759
Reaction score
3,452
Wanawake, mko nyuma ya keyboard.

Tuambieni sisi waume zenu tujue, msituonee aibu. Tuchaneni kisawasawa, nini haswa kinawafanya mnachepuka nyie mlioolewa ama mlio kwenye mahusiano yanayotarajiwa kuzaa ndoa? Ama wale mnaokuwa na wapenzi wengi kwa wakati mmoja, nini huwa chanzo?

Wanaume, Leo vungeni tusikilizie tunavyochanwa live na hawa wake/ watarijiwa wetu. Chukueni kabisa notebook ✍✍

Wadada uwanja wenu huu.

Fungukeni


 
Mume au mpenzi kukuchukulia poa (Yani anakuona wa kawaida tu hajali tena, hakusifii, hadi unajiona ovyo wakati deep down unajua wewe kisu. Then unapata mtu anakuangalia kwa macho flani hivi)

Kukosekana kwa plan ya future(uko na mwanamke 1 year, 2 years haijajulikana uko naye umuoe, mnafurahishana tu au vipi)

Tabia tu (mtu hawezi kuwa na mpenzi mmoja)

Dushelele (kutafta raha za dunia kama hazipati ndani)
 
ohoooo ahsante dada.
wanaume mpooooo
 
Hakuna sababu ya msingi ,wengi hujikuta tu wamechepuka maana hata huyo mchepuko ana mapungufu inawezekana mengi kuliko ya mume na ndio maana baada ya mda wanaachana pia.
Sasa hapa huwa ni huyuhuyu shetani ndio kisababishi au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…