Labda kama anafuata hela.
Ila amini usiamini, wanaume mkishaoa mnakuwa wazembe sana. Ndiyo maana mtu haoni tabu kumpa "bodaboda" wake amtoe hamu.
Unakuta mtu unarudi nyumbani unafanyiwa mitego yote lakini wapi. Muda wa kumwandaa mpenzi wako hauna unajidai umechoka. Mwanamke mpaka akuanze wewe ndio mgegedane. Akikausha na wewe unajidai umekausha. Madai umechoka. Hivi wanaume siku hizi mbona mnaogopa papuchi sana? Yaani mmekuwa na tabia za kuogopa kugegedana mtadhani wale mabinti ambao bado ni bikra.
Ukijitahidi sana, kagoli kamoja ndani ya dakk 3😂😂😂😂😂.
Mnijibu Leo, huwa mnaishiwa nguvu za kiume? Au mnakuwa mmeizoea papuchi?