Nyuma ya Pazia: Nini hasa kinafanya wanawake walioolewa au walio kwenye mahusiano serious kuchepuka?

usipende kujinunisha mtu anapoitafuta suluhu ungana nae
siye wote ni bin adam tuna mioyo ya nyama yenye kuvumilia na kuchoka kuvumilia pia
tutazungumza nyumbani...uandae kabisa kuni
 
Kuna dada anaolewa mwaka huu mwezi wa tisa
Nafahamiana nae kwa muda mrefu kidogo
Kuna siku alinitafta(maana hata namba yake sikua nayo).Alicho nieleza nilibaki mdomo wazi.
ila kwa sasa nipo nafanya juu chini ili nimkwepe
Alikwambia nn mbona unasema vitu nusu
 
Marriage is BOARING jamani. So soon or later utatoka nje tu. Uwe mwanaume au mwanamke. Marriage is fucken BOARING. Imagine Woking and see the person for 30 years [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] beside you..... Its creepy[emoji317][emoji317]. So. Lazima utatafuta Ile feeling uliyoisikia miaka Ile kipindi wapigiwa misele. Mtu akudanganye anakupenda ingawa wanajua wanadanganywa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Ni kama ukila Unga ukapata Ile feeling Ile yenyewe so mara zote utatafuta uipate ileile ndo maana wasikiaga overdose. So mtu akishabokea akamiss Ile feeling ya kipindi kile utaliwa tu haijalishi we mtata kiasi gani. Coz mumeo hatakupa hiyo feeling kabisa after sometimes.
Sisi wanaume!! Sisi tunatoka tu.. Kinachohitajika ni utelezi tu. Wala hauhitaji motivation[emoji41][emoji41]
 
Uraibu wa penzi jipya[emoji3064]
 
Mmh labda yako[emoji1787][emoji1787] mie yangu ina miaka 17 sioni kama ni boaring kabisaaa naona kama tumeowana juzi
 
Labda kama anafuata hela.
Ila amini usiamini, wanaume mkishaoa mnakuwa wazembe sana. Ndiyo maana mtu haoni tabu kumpa "bodaboda" wake amtoe hamu.

Unakuta mtu unarudi nyumbani unafanyiwa mitego yote lakini wapi. Muda wa kumwandaa mpenzi wako hauna unajidai umechoka. Mwanamke mpaka akuanze wewe ndio mgegedane. Akikausha na wewe unajidai umekausha. Madai umechoka. Hivi wanaume siku hizi mbona mnaogopa papuchi sana? Yaani mmekuwa na tabia za kuogopa kugegedana mtadhani wale mabinti ambao bado ni bikra.
Ukijitahidi sana, kagoli kamoja ndani ya dakk 3[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Mnijibu Leo, huwa mnaishiwa nguvu za kiume? Au mnakuwa mmeizoea papuchi?
Sasa na wewe mwanamke ni mtamu, msafi wa mwili, unaishi vizuri na mume wako?! Hivi ni baadhi ya vitu ambavyo tukivikosa tunaloose sex urge na drive.
 
Wanaume tukichepuka ni 'lawama' kwetu
Na wanawake wakuchepuka ni lawama kwetu pia...hatari sana
 
Labda kama anafuata hela.
Ila amini usiamini, wanaume mkishaoa mnakuwa wazembe sana. Ndiyo maana mtu haoni tabu kumpa "bodaboda" wake amtoe hamu.

Unakuta mtu unarudi nyumbani unafanyiwa mitego yote lakini wapi. Muda wa kumwandaa mpenzi wako hauna unajidai umechoka. Mwanamke mpaka akuanze wewe ndio mgegedane. Akikausha na wewe unajidai umekausha. Madai umechoka. Hivi wanaume siku hizi mbona mnaogopa papuchi sana? Yaani mmekuwa na tabia za kuogopa kugegedana mtadhani wale mabinti ambao bado ni bikra.
Ukijitahidi sana, kagoli kamoja ndani ya dakk 3😂😂😂😂😂.

Mnijibu Leo, huwa mnaishiwa nguvu za kiume? Au mnakuwa mmeizoea papuchi?
😀
😀
 
Kwahiyo sisi tunajiandaaje? Tuangalie porn ili tupate hisia? Mkija mchomeke tuu?
Wazembe sana nyie wanaume. Ndio maana mkilala tunawaona kama ng'ombe imelala kitandani. Na mwanamke usipomridhisha hata heshima inapungua.

Ndio kama haumridhishi mke wako ukiwa umelala akikuangalia anaona kama ni ng'ombe imelela.😂😂😂😂😂
Ha,ha,haaaaa!
 
first time nachepuka
nilimfunania mwanaume akanigeuzia kibao
ukatokea mnuno zaidi ya mwezi nikajishusha niweke mambo sawa mtu bado anavimba
no sex no talking
nikaona isiwe tabu nikavuta kazee kangu kananibebisha ile mpaka nachanganykiwa
basi tukachepuka na akawa anailisha mpaka familia ya mtu aliyenuna
Haa haa haa kama nakuona vile ukimpikia pilau anakula huku kavuta mdomo na ubaja wakuku mdomoni nawe cheko la pembeni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama unamtizama ndama anaye nyonya kwa mama yake [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom