Nyuma ya Pazia: Nini hasa kinafanya wanawake walioolewa au walio kwenye mahusiano serious kuchepuka?

Ndio maana tunakufa haraka na kuwaacha mkitawala nyumba. Mnataka tule papuchi v3 na mrizike na mnataka maisha mazuri! Mtuonee huruma jamani
 
Ndio maana tunakufa haraka na kuwaacha mkitawala nyumba. Mnataka tule papuchi v3 na mrizike na mnataka maisha mazuri! Mtuonee huruma jamani
kwahiyo kutafuta hela ndio panafanya mkose nguvu za kiume?
 
Wewe hujui na Mimi sijui, Hakuna ajuaye hata Shetani
 
Basi endeleeni kuwa watoaji coz inaonesha ndo mlivyofunzwa kwenu
 
Hivi wanaume kwanini mkioa tuu mnakuwa wazembe kitandani?
Ndio kwamba mmeshaizoea papuchi au? Au ni nguvu za kiume huwa zinaisha?
Mechi ya ndoa haiitaji nguvu,mechi za ugenini tunapakua haswa ili kufidia gharama zetu
 
Yani hom ipo tu,ila vitambi vyenu na operation za uzazi zinaleta shida,ukikunjwa sana unalalamika mshono unauma[emoji16][emoji16].mechi hainogi...za ugenini unapewa style zote mpka plus uzazi wa mpango unapewa
 
Uwakute sasa wanajisifia utachoka[emoji134][emoji134]
Halafu ndio maana inafikia hatua hata mke anapoteza hamu na mumewe hata akikugusa hausisimki tena maana unajua ataishia kukuchafua tu.
Matokeo yake anaanza kumlaumu mkewe eti anamnyima!
Duuuh wife akipoteza hamna nami napoteza hamuu
 
Maisha yamebadilika mama unarudi saa 3 ucku,ladha ya chakula napikiwa na beki tatu wewe ukirudi ni kuoga,kula na kulala...ukiguswa ooooh nimechoka
 
99% Excellent
 
Sasa umeanza kucomment kwa hisia. Huu mchezo hauhitaji hasira.
Hakuna hasira mama,,,coz maisha y ndoa n pamoja n kuwa muwazi kwa mwenzio ktk changamoto za ndani n namna ya kuzitatua but wewe ume-base kwny kulalamika tu
 
Hivi wanaume kwanini mkioa tuu mnakuwa wazembe kitandani?
Ndio kwamba mmeshaizoea papuchi au? Au ni nguvu za kiume huwa zinaisha?
Kwanza :- nguvu kwasababu ya umri zinakuwa zimetetereka kiasi.
Pili :- mkizaa mnakuwa kama vile hampati genye.
Tatu: - mabadiriko yenu ya kimaumbile kulinganisha na wakati nakutongoza.
Nne:- wanaume tunaonjaonja sana huko nje, sasa hufika kipindi umekutana na ile tam ka ya kwenye kideo.
Tano ;- maudhi ya wanawake baada ya kumzoea mwanaume.( kuchomoza makucha)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…