Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana tunakufa haraka na kuwaacha mkitawala nyumba. Mnataka tule papuchi v3 na mrizike na mnataka maisha mazuri! Mtuonee huruma jamaniLabda kama anafuata hela.
Ila amini usiamini, wanaume mkishaoa mnakuwa wazembe sana. Ndiyo maana mtu haoni tabu kumpa "bodaboda" wake amtoe hamu.
Unakuta mtu unarudi nyumbani unafanyiwa mitego yote lakini wapi. Muda wa kumwandaa mpenzi wako hauna unajidai umechoka. Mwanamke mpaka akuanze wewe ndio mgegedane. Akikausha na wewe unajidai umekausha. Madai umechoka. Hivi wanaume siku hizi mbona mnaogopa papuchi sana? Yaani mmekuwa na tabia za kuogopa kugegedana mtadhani wale mabinti ambao bado ni bikra.
Ukijitahidi sana, kagoli kamoja ndani ya dakk 3[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mnijibu Leo, huwa mnaishiwa nguvu za kiume? Au mnakuwa mmeizoea papuchi?
kwahiyo kutafuta hela ndio panafanya mkose nguvu za kiume?Ndio maana tunakufa haraka na kuwaacha mkitawala nyumba. Mnataka tule papuchi v3 na mrizike na mnataka maisha mazuri! Mtuonee huruma jamani
🤣🤣🤣🤣 mimi sijui kwakweli no comment mimi ni bikra sijui kituu😂😂😂Lisa Rina nimekuona acha neno hapa na Saint Anne nimeona nyayo zako hapa
Heeeee nisubiri huko chumbani tuongee vizr🤣🤣🤣🤣 mimi sijui kwakweli no comment mimi ni bikra sijui kituu😂😂😂
Wewe ni keWewe hujui na Mimi sijui, Hakuna ajuaye hata Shetani
Hapana in zeWewe ni ke
Basi endeleeni kuwa watoaji coz inaonesha ndo mlivyofunzwa kwenuKwahiyo mpo busy kuandaa mafao ya uzeeni.
Sasa msiulize tena kwanini tunachepuka.
Wikiend yenyewe mnagusa gusa hamna mnachofanya. Kichekesho kimoja cha wanaume ni kwamba anaweza kujiona amesimamia show sijui ukucha kumbe hamna kitu kakupaka paka tuu.
Halafu ukichepuka mtu anakujliza "umekosa nini"? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mechi ya ndoa haiitaji nguvu,mechi za ugenini tunapakua haswa ili kufidia gharama zetuHivi wanaume kwanini mkioa tuu mnakuwa wazembe kitandani?
Ndio kwamba mmeshaizoea papuchi au? Au ni nguvu za kiume huwa zinaisha?
Yani hom ipo tu,ila vitambi vyenu na operation za uzazi zinaleta shida,ukikunjwa sana unalalamika mshono unauma[emoji16][emoji16].mechi hainogi...za ugenini unapewa style zote mpka plus uzazi wa mpango unapewaLabda kama anafuata hela.
Ila amini usiamini, wanaume mkishaoa mnakuwa wazembe sana. Ndiyo maana mtu haoni tabu kumpa "bodaboda" wake amtoe hamu.
Unakuta mtu unarudi nyumbani unafanyiwa mitego yote lakini wapi. Muda wa kumwandaa mpenzi wako hauna unajidai umechoka. Mwanamke mpaka akuanze wewe ndio mgegedane. Akikausha na wewe unajidai umekausha. Madai umechoka. Hivi wanaume siku hizi mbona mnaogopa papuchi sana? Yaani mmekuwa na tabia za kuogopa kugegedana mtadhani wale mabinti ambao bado ni bikra.
Ukijitahidi sana, kagoli kamoja ndani ya dakk 3[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mnijibu Leo, huwa mnaishiwa nguvu za kiume? Au mnakuwa mmeizoea papuchi?
Na sisi tukienda ugenini tunakunjwa haswa.Yani hom ipo tu,ila vitambi vyenu na operation za uzazi zinaleta shida,ukikunjwa sana unalalamika mshono unauma[emoji16][emoji16].mechi hainogi...za ugenini unapewa style zote mpka plus uzazi wa mpango unapewa
Sasa umeanza kucomment kwa hisia. Huu mchezo hauhitaji hasira.Basi endeleeni kuwa watoaji coz inaonesha ndo mlivyofunzwa kwenu
Duuuh wife akipoteza hamna nami napoteza hamuuUwakute sasa wanajisifia utachoka[emoji134][emoji134]
Halafu ndio maana inafikia hatua hata mke anapoteza hamu na mumewe hata akikugusa hausisimki tena maana unajua ataishia kukuchafua tu.
Matokeo yake anaanza kumlaumu mkewe eti anamnyima!
Maisha yamebadilika mama unarudi saa 3 ucku,ladha ya chakula napikiwa na beki tatu wewe ukirudi ni kuoga,kula na kulala...ukiguswa ooooh nimechoka1. Wanaume wengi mna shida ya nguvu za kiume and yet badala ya hizo chache mlizonazo mzitumie kuwaridhisha wake/wapenzi wenu bado unaona sifa kuwa na michepuko. Hence problems.
2. Mkishaoa mnajisahau sana, vile vionjo vya kumvutia mkeo huna tena, kumbukeni hisia zetu sio kama zenu.
3. Mikwaruzano ndani ya ndoa inayokosa utatuzi wa muda mrefu, mtu anaamua kuitafuta faraja nje.
4. Curiocity tu ya penzi jipya (wote mnafahamu penzi jipya lilivyo na mbwembwe)
6. Makundi/mashost, wapo wanawake wanaochepuka sababu ya kuwasikiliza mashost, kamweleza shost tatizo lake suluhisho alopewa na shost ni kuchepuka(maybe shost nae anachepuka na akamweleza anavyofaidi)
7. Upweke, wanawake wengi ni wapweke ndani ya ndoa zao. Its like wamejioa, hivyo anaamua atafute companionship nje.
8. Single mother, kama mnadhani single mothers ni wale ambao hawajaolewa tu basi tambueni kuna single mothers wengi tu ndani ya ndoa. Anajihudumia almost everthing yeye na wanawe, mume yupo tu kama pambo hata watoto hawafaidi uwepo wa baba yao.
9. Financial support, kuna wanaochepuka kutafuta financial support, let say anataka kujiongeza afanye jambo fulani na hana uwezo wa kifedha na mume kagoma au hawezi kumwezesha, anatokea kibopa anamwezesha ndio basi tena na papa linaliwa.
10. Tamaa, wengine wanachepuka tu sababu ya tamaa maana kuwa na mwanaume mmoja hawezi. Wanakwambia "mwanaume mmoja anadumaza".
11. Kutafuta mtoto, una shida ya mtoto na mumeo hana uwezo wa kuzalisha, basi unaamua umtafutie mtoto huko nje ili angalau nae aitwe baba(mnaona tunavyowajali sasa!!)
11. Magonjwa, japo hii inataka kufanana na ile ya 1. Magonjwa kama kisukari na pressure inapelekea wanaume kuwa na performance mbovu sana, hivyo mkeo/mpenzio anabakia na maugwadu yake kila siku mwisho anaamua akutafutie msaidizi.
12. Umri(mabadiliko ya kimwili), kuna umri ukifika sijajua kama ni kwa wanawake wote au baadhi tu, yaani unakuwa na hamu balaa. Mumeo anakuwa hakuridhishi kabisa, sasa hapo ukikosa uvumilivu ndio unachepuka.
13. Yote tisa, huyu bwana shetani huyuuuu mbaya sanaaaaa.
99% Excellent1. Wanaume wengi mna shida ya nguvu za kiume and yet badala ya hizo chache mlizonazo mzitumie kuwaridhisha wake/wapenzi wenu bado unaona sifa kuwa na michepuko. Hence problems.
2. Mkishaoa mnajisahau sana, vile vionjo vya kumvutia mkeo huna tena, kumbukeni hisia zetu sio kama zenu.
3. Mikwaruzano ndani ya ndoa inayokosa utatuzi wa muda mrefu, mtu anaamua kuitafuta faraja nje.
4. Curiocity tu ya penzi jipya (wote mnafahamu penzi jipya lilivyo na mbwembwe)
6. Makundi/mashost, wapo wanawake wanaochepuka sababu ya kuwasikiliza mashost, kamweleza shost tatizo lake suluhisho alopewa na shost ni kuchepuka(maybe shost nae anachepuka na akamweleza anavyofaidi)
7. Upweke, wanawake wengi ni wapweke ndani ya ndoa zao. Its like wamejioa, hivyo anaamua atafute companionship nje.
8. Single mother, kama mnadhani single mothers ni wale ambao hawajaolewa tu basi tambueni kuna single mothers wengi tu ndani ya ndoa. Anajihudumia almost everthing yeye na wanawe, mume yupo tu kama pambo hata watoto hawafaidi uwepo wa baba yao.
9. Financial support, kuna wanaochepuka kutafuta financial support, let say anataka kujiongeza afanye jambo fulani na hana uwezo wa kifedha na mume kagoma au hawezi kumwezesha, anatokea kibopa anamwezesha ndio basi tena na papa linaliwa.
10. Tamaa, wengine wanachepuka tu sababu ya tamaa maana kuwa na mwanaume mmoja hawezi. Wanakwambia "mwanaume mmoja anadumaza".
11. Kutafuta mtoto, una shida ya mtoto na mumeo hana uwezo wa kuzalisha, basi unaamua umtafutie mtoto huko nje ili angalau nae aitwe baba(mnaona tunavyowajali sasa!!)
11. Magonjwa, japo hii inataka kufanana na ile ya 1. Magonjwa kama kisukari na pressure inapelekea wanaume kuwa na performance mbovu sana, hivyo mkeo/mpenzio anabakia na maugwadu yake kila siku mwisho anaamua akutafutie msaidizi.
12. Umri(mabadiliko ya kimwili), kuna umri ukifika sijajua kama ni kwa wanawake wote au baadhi tu, yaani unakuwa na hamu balaa. Mumeo anakuwa hakuridhishi kabisa, sasa hapo ukikosa uvumilivu ndio unachepuka.
13. Yote tisa, huyu bwana shetani huyuuuu mbaya sanaaaaa.
Kunjwa tu mama,ukizidiwa hamia huko ila heshima na nidhamu ya nyumba iwepoNa sisi tukienda ugenini tunakunjwa haswa.
Tena wanawala na kabangNa sisi tukienda ugenini tunakunjwa haswa.
Hakuna hasira mama,,,coz maisha y ndoa n pamoja n kuwa muwazi kwa mwenzio ktk changamoto za ndani n namna ya kuzitatua but wewe ume-base kwny kulalamika tuSasa umeanza kucomment kwa hisia. Huu mchezo hauhitaji hasira.
Kwanza :- nguvu kwasababu ya umri zinakuwa zimetetereka kiasi.Hivi wanaume kwanini mkioa tuu mnakuwa wazembe kitandani?