- Thread starter
- #321
sekunde 8 haha, mdogo wangu anakuja haha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sekunde 8 haha, mdogo wangu anakuja haha
Angalia kama anatumia dawa za kupanga uzazi; zisipo endana na Hormone zake..hamu inaweza kuishasasa mwalimu, mimi wangu kwa sasa ndio hapendi kabisa ngono yaani mpaka nimlazimishe na hanipi ushirikiano😀 hata nimuandae vipi, najipigia tu kama napumb maji nikimaliza natulia.. naye analalamika kwamba napenda kugegeda sana
Kwa mwezi naweza kupewa ushirikiano kamili mara moja tu na kwa bao moja, hizo zingine nafosi tu...lakini tulivokuwa kabla ya ndoa ilikuwa ni kubinduana balaaaa...kuna mda huwa najiuliza au anapigwa miti huko nje.
Aiseee kwa kweli jamii forum hadi raha unamaliza kila kitu unakipata humuhumu ushauri kil kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya mambo tunazunguka nayo humu humu duniani
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Yaani acha tu na uzuri zaidi hakuna kufahamianaAiseee kwa kweli jamii forum hadi raha unamaliza kila kitu unakipata humuhumu ushauri kil kitu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sekunde 8 haha, mdogo wangu anakuja haha
Wakwe wengi ni wale wale, mtoto wao hawezi mkandamiza hata kama kafanya makosa, huko wakiwa wenyewe unazani wataongea nini! Ni wazazi wachache ambao husimamia ukweli , bora upambane mwenyeweUsinambie kumbe na ukweni nako majanga eeh
Mke mwenzangu ananiambia kuwa aliyekuwa na hekima ni mama mkwe maana alikuwa yuko neutral hakuwa anaegemea upande wa mtu ila ndio hivyo vizur havidumu kabaki baba mkwe ambae ndiye dish yaan ukijichanganya kuomba ushauri atamshauri mwanae kuoa mwanamke mwingineWakwe wengi ni wale wale, mtoto wao hawezi mkandamiza hata kama kafanya makosa, huko wakiwa wenyewe unazani wataongea nini! Ni wazazi wachache ambao husimamia ukweli , bora upambane mwenyewe
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani kama mie, mama hana shida kabisa yeye mwenyewe ding alimsumbua sana, ila huyo mdingi wala siwezi hata siku moja kama ulivyosema dish, likiyumba haa haa labda bora hata wako [emoji23][emoji23][emoji23]Mke mwenzangu ananiambia kuwa aliyekuwa na hekima ni mama mkwe maana alikuwa yuko neutral hakuwa anaegemea upande wa mtu ila ndio hivyo vizur havidumu kabaki baba mkwe ambae ndiye dish yaan ukijichanganya kuomba ushauri atamshauri mwanae kuoa mwanamke mwingine
Baba yako mzazi ndio unasema bora hata dish lililoyumba?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani kama mie, mama hana shida kabisa yeye mwenyewe ding alimsumbua sana, ila huyo mdingi wala siwezi hata siku moja kama ulivyosema dish kuyumba haa haa labda bora hata wako [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Wapi nimeandika baba mzazi? Embu muache baba yangu apumzike kwa amani.Baba yako mzazi ndio unasema bora hata dish lililoyumba?
Ohoo kumbe huyo ni baba mkwe?Wapi nimeandika baba mzazi? Embu muache baba yangu apumzike kwa amani.
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Mtu anakuja nyumbani anakukuta unamtega kabisa jamani anakuambia naomba chakula anakula anaondoka kurudi ijioni mara ingine unamwambia njoo mapema home anakuja ila kukugusa kazi sasa naomba uniambie utalala na nani ?Kwahiyo ushapiga show nje ya ndoa ! daaah dunia inaenda kwa kasi sana
Eheee yamekuwa hayaMtu anakuja nyumbani anakukuta unamtega kabisa jamani anakuambia naomba chakula anakula anaondoka kurudi ijioni mara ingine unamwambia njoo mapema home anakuja ila kukugusa kazi sasa naomba uniambie utalala na nani ?
Mbwa maana na mbwa hapa au jirani utoke njee uite majirani??
Nahamu wengine wako kazini wengine watakushangaa unabwana .
Lazima uwe na mtu wa ziada ambaye ikute mke wake naye anambania hujui mke wake anampa mume wako lazima uwe na mtu wa pembeni .
Tena mimi rafiki yake wa pekee wa mume wangu ndio shida hizo tunapunguziana na tunaheshimu ndoa zetu basi.
Sina mwingine na sitakuwa siwezi kuhudumia watatu.
Huyu rafiki yake ni anahela sana tajiri mdosi wa haja .
Uhusiano ulianza hivi ilikuwa morning simu iliita ya mme wangu kuangalia ni mke mwenza yaani mke wa rafiki wa mume wangu kidogo mesage inasema "imekuwaje jana uliniacha sijaridhika na huyo mkeo ananini mpaka unakurupuka unakuja moja kwa moja kwake?"
Nikashikwa na hasira nikamjibu "nisamehe babe"
Akareply kama unataka nikusamehe njoo mahali nilipo.
Nikamwambia mme wangu ametoka bafuni "mpenzi mama benson amesema uende leo anakikao nawewe akashtuka akavaa akaondoka hata chai hajanywa.
Wee hajarudi hiyo siku nami nikaona bora nianze njama ,shemeji aliniambia nikakata kuamini na sasa naamini .
Basi nikaona nimpigie kesho yake alipokuja mme wangu nikamwambia shemeji nakualika na mkeo kwa chakula cha ijioni hapo ndio nilionyesha nia nampa nafasi yeye kwa kila kitu kuanzia chakula na mchotea na kumpa attention yote kasoro kumwonyesha mahaba tu.
Tena washukuru wote hao malaya kuwa nimekuwa ningewaonyesha vituko kabisa na vibwanga.
Usiombe uolewe na malaya au mwanaume wa kizazi hiki ni jipu la kulitibua .
So siku inayofuata text za hapa na pale nikaona wa supermarket ni jipu jingine ni aibu tu kutembea na huyo hana hela .
Mpaka sasa haja zangu zote zinatimizwa kuanzia mapenzi, hela , attention na kampani.
Nyie tu ndio mpunguziwe shida zenu sisi tuwe vichaa sindio kwa kuturingia na miwa zenu weee acha hizoo.
Tutatoa sana na mkitutaka pia kama wanaume tutawapa kama kawaida .
Ndio mnachepuka na chepuka ila mimi sio mjinga naangalia mtu wa kuchepuka naye .Eheee yamekuwa haya
usicheke kweli vile
AiseeeMtu anakuja nyumbani anakukuta unamtega kabisa jamani anakuambia naomba chakula anakula anaondoka kurudi ijioni mara ingine unamwambia njoo mapema home anakuja ila kukugusa kazi sasa naomba uniambie utalala na nani ?
Mbwa maana na mbwa hapa au jirani utoke njee uite majirani??
Nahamu wengine wako kazini wengine watakushangaa unabwana .
Lazima uwe na mtu wa ziada ambaye ikute mke wake naye anambania hujui mke wake anampa mume wako lazima uwe na mtu wa pembeni .
Tena mimi rafiki yake wa pekee wa mume wangu ndio shida hizo tunapunguziana na tunaheshimu ndoa zetu basi.
Sina mwingine na sitakuwa siwezi kuhudumia watatu.
Huyu rafiki yake ni anahela sana tajiri mdosi wa haja .
Uhusiano ulianza hivi ilikuwa morning simu iliita ya mme wangu kuangalia ni mke mwenza yaani mke wa rafiki wa mume wangu kidogo mesage inasema "imekuwaje jana uliniacha sijaridhika na huyo mkeo ananini mpaka unakurupuka unakuja moja kwa moja kwake?"
Nikashikwa na hasira nikamjibu "nisamehe babe"
Akareply kama unataka nikusamehe njoo mahali nilipo.
Nikamwambia mme wangu ametoka bafuni "mpenzi mama benson amesema uende leo anakikao nawewe akashtuka akavaa akaondoka hata chai hajanywa.
Wee hajarudi hiyo siku nami nikaona bora nianze njama ,shemeji aliniambia nikakata kuamini na sasa naamini .
Basi nikaona nimpigie kesho yake simu ,shemeji alipokuja mme wangu asubuhi home katoka kwa wifi.
nikamwambia shemeji nakualika na mkeo kwa chakula cha ijioni hapo ndio nilionyesha nia nampa nafasi yeye kwa kila kitu kuanzia chakula na mchotea chakula na kumpa attention yote kasoro kumwonyesha mahaba tu.
Tena washukuru wote hao malaya kuwa nimekuwa ningewaonyesha vituko kabisa na vibwanga.
Usiombe uolewe na malaya au mwanaume wa kizazi hiki ni jipu la kulitibua .
So siku inayofuata text za hapa na pale nikaona wa supermarket ni jipu jingine ni aibu tu kutembea na huyo hana hela .
Mpaka sasa haja zangu zote zinatimizwa kuanzia mapenzi, hela , attention na kampani.
Nyie tu ndio mpunguziwe shida zenu sisi tuwe vichaa sindio kwa kuturingia na miwa zenu weee acha hizoo.
Tutatoa sana na mkitutaka pia kama wanaume tutawapa kama kawaida .
Pole sana, Uwiii miwa yenyewe imepecha ina wadudu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daa jamani nacheka kama mazuri, wanawake wanavumilia mengi sana, na shida huwa ni kuanza, siku akianza basi tena, wanaume huwa wanayataka wenyewe!Mtu anakuja nyumbani anakukuta unamtega kabisa jamani anakuambia naomba chakula anakula anaondoka kurudi ijioni mara ingine unamwambia njoo mapema home anakuja ila kukugusa kazi sasa naomba uniambie utalala na nani ?