Nyuma ya Pazia: Nini hasa kinafanya wanawake walioolewa au walio kwenye mahusiano serious kuchepuka?

Wewe siku yako haiendaji vizuri unanitafuta mimi hadi mimi siku yangu haendi vizuri kama yako so please fuata maisha yako.
Hahahah katoto unanifurahishaga...ila wewe sio mtanzania nashawishika kuamini hivi,.kiswahili chako hakielewekagi kabisa
 
Umetaja sababu za msingi hasa, ila moja ukaisahau
Matamanio ya kiuchumi, wakati mwingine huchepuka kwa ajili ya fweza pia.

Mwanaume akikamilika katika haya uliyoongea, anapunguza asilimia za mwanamke kuchepuka.
 
Aisee watu tuko tofauti sana...

Mimi napenda kugegeda kuliko hata kula, yaani natamani kugegeda kwanza kabla ya kula na nikimaliza nataka tena...

Ila mniombee maana naona wife anaweza akanishindwa, sijui nina pepo la ngono mimi jamani duhhhh!!!
 
Wewe siku yako haiendaji vizuri unanitafuta mimi hadi mimi siku yangu haendi vizuri kama yako so please fuata maisha yako.
Aisee watu tuko tofauti sana...

Mimi napenda kugegeda kuliko hata kula, yaani natamani kugegeda kwanza kabla ya kula na nikimaliza nataka tena...

Ila mniombee maana naona wife anaweza akanishindwa, sijui nina pepo la ngono mimi jamani duhhhh!!!
hata mimi boss.
changamoto nilie nae kwa sasa hapendi hayo mambo ananipa shida sana
 
Nilipofungua huu uzi nilitegemea nikute majibu yametolewa na wanaume maana wana viherehere kweli. Na kweli ndicho nilichokuta.
 
Uwakute sasa wanajisifia utachoka[emoji134][emoji134]
Halafu ndio maana inafikia hatua hata mke anapoteza hamu na mumewe hata akikugusa hausisimki tena maana unajua ataishia kukuchafua tu.
Matokeo yake anaanza kumlaumu mkewe eti anamnyima!
 
Nilipofungua huu uzi nilitegemea nikute majibu yametolewa na wanaume maana wana viherehere kweli. Na kweli ndicho nilichokuta.
πŸ˜€ Achana nao

Hebu toa sababu, huu uzi nimeuweka kwa ajili yenu
 
Uwakute sasa wamajisifia utachoka[emoji134][emoji134]
Halafu ndio maana inafikia hatua hata mke anapoteza hamu na mumewe hata akikugusa hausisimki tena maana unajua ataishia kukuchafua tu.
Matokeo yake anaanza kumlaumu mkewe eti anamnyima!
πŸ™πŸ™πŸ˜³πŸ˜³kuchafuachafua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…