Nyuma ya Pazia Seif kujiunga na ACT (Kuna kitu kinatafutwa) CCM Ikae Tayari

Uchambuzi wako umekosa hoja muhimu Moja kuu uneongelea hama hama ya wabunge na madiwani kwa chadema umesahau Lowassa effect kuwa kuhama kwake kahama na sehemu kubwa ya wale wapiga kura milioni sita wake ambao asilimia zaidi ya themanini walipigia kura chadema sababu ya Lowassa kwenye mikoa yenye walutheri Wengi.Hawakupigia kura chadema sababu wanaipenda Chadema Bali sababu walimpenda Lowassa mikoa yenye walutheri wengi kama Kilimanjaro,Arusha,manyara,Mbeya,Dar es salaam Tanga na Momba na morogoro
 
Kwa kura anashinda,tatizo ni tume na polisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kifupi jambo asilolijua ni kama usiku wa Giza.Upinzani ndio ukae tayari safari hii uchaguzii ujao kwanza Upinzani wengi wa wanachama wao hawataenda kupiga kura kabisa hasa Zanzibar huku bara ndio usiseme .Mwanachama wa Upinzani kumwinua akapige kura labda umnyanyue na winchi.Wengo hawataenda kabisa,S sijui Upinzani utafanyaje kuhamasisha wanachama wao wakapige Kura
 
Uchambuz mbovu wa kusifia watu.....unazunguka na ujinga kumbe lengo umsifie jiwe.Hana siasa za ujanja unampa sifa asizostahili,anacheza siasa za mamlaka (Intimidating power).
Poor minded, ulitaka nimsifie nani? siasa za mamlaka ni aina ya siasa pia na JPM ameamua kuzitumia kwa sababu ndo ni fursa kwake kuwin game..., hata matajiri wametajirika kwa njia mbalimbali eg mali za kurithi, za kuiba, kudhulumu, kuloga au za kupambana mwenyewe.. mwisho wa siku wanaitwa matajiri haijalishi wamepitia njia gani kuupata....
 
Hii paragraph imeonyesha hauna kitu unachokijua unaongozwa na ushabiki tu bila kutumia akili.

"Hawa watu wametazama kwa umakini mwenendo wa siasa za bongo wakaona hakuna uwezekano wa vyama vya upinzani kushinda uchaguzi 2020 kwa njia ya kura, ukiachilia mbali mambo anayoyafanya JPM, bado jamaa anakubalika sana kwa wananchi hasa maeneo muhimu kwa kura, hivyo kwa vyovyote vike kushindwa ni hakika"
 
CCM na JPM hawajawahi kuwa na mbinu mkakati za kuushinda upinzani kwenye fair ground. Bado wataendelea kupata fadhila ya vyombo vya dola na tume ya uchaguzi ili kutoboa. Mark my words.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Peleka udini wako CCM.
 
Huyo jamaa unamsifia bure tu , kucheza na wakati hajui kabisa wala hana mbinu yoyote zaidi ya kutegemea polisi tu
Mkuu najua ww ni chadema kweli kweli...Kutegemea polisi ni mbinu aliyoichagua Jiwe na imemsaidia kwa kiasi chake..hata wapinzani wanatafuta namna ya kuikabili hii mbinu ya Jiwe maana anatumia nguvu...kwa vvyvyte vle hata wakishinda kwenye kura hawatatangazwa washindi, na hakuna uwezekano wa tume huru kwa sasa na mda umesonga sana kuhit uchaguz mkuu....Hvyo msaada pekee lazma watafute support kutoka kwa wenye nguvu kuzidi JPM....swala hapa ni kupata madaraka kwa njia yyte ile swala kwamba ni nzuri au mbaya sio case kwa nchi za Africa
 
Hivi kabisa unaweza kukaa ukajidanganya kuwa Lissu anaweza kumshinda Magufuli 2020?
Siyo kujidanganya uwo ndo ukweli hata jiwe mwenyewe anajua hana ubavu hata kiduchu wa kupambana na Lissu na siyo tu,, jiwe hata awekwe na yeriko nyerere jiwe hawezi shinda kama uchaguzi utakuwa huru na haki
 
Mkuu ww ndo bulldoza, nikwambie tu kwamba kwa Africa zaid ya asilimia 50 ya mapato ya nchi pamoja na rasilimali hutumika kuhakikisha aliye madarakani anarud kwenye madarakan, ngojera sjui za uchumi, uhuru nk kwa Africa hilo halipo... kulingana na nafac aliyo nayo Jiwe yeye ameona ni fursa kwake kufanya anayoyafanya ili arudi madarakani, asipofanya hvyo hawezi kurud kwa mtazamo wake..na kila mmoja hutumia fursa aliyo nayo ili kufanikiwa..usiwe arrogant sana ndug..kama vipi kamshaur abadili mbin, mana anachotaka ni madaraka na sjui kama atakuelewa
 
Nipe ufafanuzi kidogo una maana ipi unaposema ACT msingi wake mkubwa ni uislamu.

Maana kuna kipindi kuna mbwa walibweka kwa sauti ya CHADEMA YA WAKRISTO WALUTHERAN.


Ikiwa na maana CCM ndio chama kisicho na udini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…