Nyuma ya Pazia Seif kujiunga na ACT (Kuna kitu kinatafutwa) CCM Ikae Tayari

.bila shaka JPM atapita kama mgombea urais kupitia chama tawala (Patamu hapo.)
Hili halihitaji darubini. Wanaojifaragua kwamba wataomba uteuzi kupita CCM mwaka 2020 wanajifurahisha tu na wao pamoja na wake/waume zao wanalijua hilo vizuri.
 

Nimesoma science na nakubali kwambà wapo ambao ni vichwa. Nimekutana na waalimu chuo kikuu wenye upeo mkubwa kiasi unatamani wangepata uongozi mkubwa. Namkumbuka hasa Prof.mmoja wa physics. Hao wenye uwezo wakijiingia siasa hufanikiwa sana: Margareth Thatcher, Angela Merkel. Lakini huku kwetu watu hawaingii siasa kwa sababu wanao uwezo bali kwa kuona fursa ya maisha. Matokeo yake hata wanasayansi wetu wanaoingia huko siyo wale vichwa bali 'mediocre' na 'opportunists'. Mwanasayansi wa aina hiyo akiingia siasa usitarajie mambo ya maana sana. Atabakia 'opportunists tu, tena mwenye hila nyingi za kijima kwa sababu hujui hata nadharia ya misingi ya uongozi na utawala. Mtu moja maarufu alisema kama hujui misingi ya utawala usitafute uongozi wa kisiasa.
 
 

Ndio maana nikakuambia upo sawa kutokana na definitions zako. Umetuambia kuwa Magufuli ni mtu wa facts; lakini ni Magufuli huyo huyo aliesema hadharani kuwa alipoingia madarakani alikuta sukari inauzwa Shilingi elfu 5 kwa kilo. Kwa definition ya ukweli ya walio wengi tunajua huo ni UONGO lakini kwa definition yako ya facts (na lumumba wenzio) huo ni ukweli.
 
Mleta mada, tuonane leo jioni ili nikukamilishie malipo yako.
 
Huyo mtu wako hana uwezo wa kuwatikisa western Countires,mna over estimate-Ukisha kuwa masikini sana sana utaishia kuwa masikini jeuri kitu ambacho hakikusaidii pia-Hao western counyties ndo wameshika mpini-Atahangaika tu,atabadirisha mawaziri ila haitamsaidia-ULAFI WA MADARAKA HAUJAWAHI KUMUACHA MTU YEYOTE SALAMA-Angalie kinachoendelea kwenye miradi yake-STR nasikia consultant kisharudi Uturuki
 
Ndio maana tunavikataa hivi vyama
Wanajisumbua bure,ccm kung'oka bado sana
Mkuu ni kweli kabisa,ukiangalia mambo madogo madogo kama dini na ukabila Ccm kungoka ni ngumu sana,ila ukiangalia idadi ya watanzania wanaokufa kila mwaka kwa kukosa dawa, ukiangalie elimu wanayopewa watoto wetu, ukiangalia barabara zetu, ukiangalia sera za kumsaidia mnyonge kujitoa unyongeni,ukiangalia namna raslimali za nchi yetu zinavyotumika,ukiangalia uhuru wetu, ukiangalia uwezo wetu wa kuwaadabisha viongozi wetu-CCM inapaswa kungolewa kwa Nguvu hata kesho
 
Wewe siyo mchambuzi,bali ni ushabiki.
Iwe ushabiki au nadharia....!!! siasa ni gambling, na ni kazi kama kazi zingine....aliyekuwa na maslah na taifa ni Nyerere tuu..na ameshakufa amekwenda
 

By the way; definition ya science imebadilika mno sasa. Nadhani ni hapa kwetu tu ndio tumebaki na dhana kuwa chemistry, biology na physics ndio science. Lakini nchi nyingine utakuta mtu anasoma finance na course yake inaitwa Bsc Finance, anaesoma marketing Bsc Marketing etc. Sasa kuna mtu kasomea "PhD in maganda ya korosho" halafu anaitwa scientist! Ukiuliza practical use ya hiyo "science" huambiwi zaidi ya kuwa aliesoma ni "smart" kwa kuwa "kasoma science".
 
Nitapambana Na Rushwa Bila Kigugumizi Chochote Na Dawa Ya Jipu Ni Kulitumbua
 
Weka ushahidi hapa la sivyo hizo ni porojo tu. Kwani tangu amengia madarakani umewahi sikia kuna mkoa. umelia njaa au kipindupindu Dar, au mgao wa umeme, ujambazi unausikia tena? Mfumko wa bei je, upo au umedhibitiwa. Najua unajua ila kwa kuwa umezoea siasa za ujanja ujanja ambazo awamu hii hazipo unaona aibu kukiri.
 
Hakuna cha msuguano na USA wala nini,nadhani pana mambo madogo madogo tu ya kurekebisha, endapo msuguano ungefika to that extent kwamba unahatarisha maslahi na usalama wa marekani na rafiki zake, nadhani USA wasingesita kuvunja mahusiano ya kibalozi na kumrudisha nyumbani balozi wake ikiambatana na kumfukuza balozi wa Tanzania nchini USA, kitu ambacho ingekua very danger kwa Tanzania, hakuna nchi yeyote duniani inayoingia kwenye serious mgogoro na USA alafu ikabaki salama hilo sahau, by then Tanzania haina rasilmali za kuifanya USA itumie resource zake kuleta tension nchini, maana hawa jamaa wanaangalia return in, hawako tayari kupoteza resource zao eti kwasababu tu wanataka kumweka mtu fulani madarakani, Tz haina hizo rasimali tunazoaminishwa kwamba tunazo, hata kama zipo not to that extent, dhahabu ya geita, kahama na tanzanite ya mererani plus gas ya mtwara haiwezi ikawapa super profit USA na rafiki zake mpaka wakashawishika kuinvest in dirt game kama,hii, hata hayo mafuta tunaambiwa yapo baharini sio mengi kivile, angalia nchi zenye mafuta kwa wingi, venezuela , Libia, Nigeria na Angola. By the way kwa wale wanaotegemea kumtoa madarakani JPM kwa msaada wa USA na rafiki zake wasahau, hili jambo hawatajaribu kulifanya wao kwa maana biashara hii haitawalipa ni biashara yene hasara, na wazungu hawako tayari kuinvest katika biashara yenye hasara wataishia kulaani kwenye vyombo vya habari vya kimataifa then yataisha.





=
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…