« Sasa akipata mkataba wa miaka mitatu anaweza kupata hasara maana itabidi ashindanie tenda na anaweza kukosa, kwahiyo Kuna ambo mengi Sana kuhusu huo mkataba. »
[emoji1426][emoji1426][emoji1426][emoji1426][emoji1426]
Kwa maelezo yako hapo juu mjomba wewe ukienda pale TAKUKURU kuhojiwa , ujue ndiyo safari yako imefika hapo . Hautorudi tena maana mule mule ndani wana kaselo kao. Watakutunza mpaka wakupeleka
Kisutu kwa maelezo zaidi.
Taratibu hazipo hivi chief, suala la cost operations halina uhusiano na contract duration. Ni aina nyingine ya UKAKASI ulio jificha. Hauwezi plan kuandaa Mkataba wenye favor kwa Supplier au service provider eti kisa atakuwa na operation cost kubwa hivyo tumpe wa muda mrefu ili apate faida bila ya kujali VFM. UTAFUNGWA WEWE!
Umeongea kitu cha ajabu sana. Probably ni out of your knowledge
Mk54.
Unaweza kuwa na hoja nzuri pamoja na ufaham mkubwa juu ya Elimu ya manunuzi na mikataba lakini?
Vakue for Money
1. Unavyozungumzia value for money unataka kutuambia nini hasa? naona unazunguka tu! value for money siku zote inahitajj ufanye comperative advantage (Sasa je unalinganisha na ligi ipi na kwa vigezo gani, au je Umesoma mkataba mzima kiasi kwamba mkataba hauna vipengele au provisions zinazo ruhusu contract ammendments?
(Naomba ufafanue hiyo value for money unamanisha nini na kwa rejea ipi, ili tuwe na uwanja mpana wa kufanya rejea kadri ya maelezo yako juu ya jambo hiki)
2.
Contract duration,
Sheria ya manunuzi unayoisema, kwa bahati mbaya sana haina kipengele au kifungu iwe kwenye Act of 2011 au Reg 2013 pamoja na marekebisho yake chenye provision ya limitation ya muda kwa mkataba wa Non Consultancy services! Sasa TFF kama Taasis imefanya analysis ya kutosha juu ya pros and cons ya tenure ya huo mkataba. Sasa unapokuja na reference nzima ya sheria ya manunuzi pamoja na Kanuni zake bila kufanya rejea ya kifungu halisi kinacho kataza contract ya miaka kumi hii inaonesha wazi una conflict of Interest.
3.
Ushindani!
Napata shaka kuwa hukufanya rejea za kutosha juu ya mada yako! Nimeona coments zako ukipinga kuwa hakukuwa na ushindani na hapo hapo ukasema ilikuwa restricted tendering!
Mkuu, nazungumzia in general, restricted tendering ni njia halali kabisa iliyopo ktk sheria za manunuzi, na kuna sabab nyingi sana za kutumia njia hiyo kulingana na malengo ya Taasis husika, lakin nikusaidie, kama unavyoagiza watu wakuletee hilo tangazo, nikuombe uende TFF watakupa! kama umeshindwa kufanya utafait wako mwenyewe! (Ingawa tangazo lilikuwepo kwenye wwbsite ya TFF) sijajua kama wamelito
4.
Utaratibu wa Zabuni.
Naona unazungumzia utaratibu wa zabuni na hasa ukitaka kupewa rejea ya tangazo, hii kama jilivyosema hapo juu, nenda TFF au fanya utafit wa kutosha. pengine watakupa nyaraka zoote utakazo ona zinakufaa: ikiwemo, tangazo, evaluation criterias, budget yao, washindani pamoja na mengine mengi!