kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
Mimi sijapanic unaongea vitu vingine as if hujaenda shule tumekujibu tenda ilitangazwa washindani wa Azam walishindwa na mkataba ilikuwa ni kipindi cha miaka 10 sio kuwa azam watu waliamua. Tujifunzee kuangalia mbali cha pili kiuchumi huyu azam ni mzawa na pesa Nyingi ka invest in our country na Chachu ya dau lake ataleta mageuzi makubwa kwenye soka nchi hiiOkay, share hapa ilipotangazwa.
Hoja ya pili, contract duration na value for money unaizungumziaje, tunajadili Chief acha kupanic huenda ukajifunza kitu in the process
Uhuru unao Kuna muda inatakiwa ujifunze kuangalia jambo kwa maslahi mapana sana ya vilabu na maendeleo ya sokaKichaa Man, hakuna mpuuzi hapa. TUNAO UHURU WA KUHOJI AU HATUNA ? JE KUHOJI KWETU TUNAVUNJA KATIBA YA JAMHURI ?
Tenda ilitangazwa,Mimi niliona tangazo kwenye mitandao ya TFF.
Ukubwa au udogo wa fedha zinazotolewa unategemea ukubwa wa uchumi wa nchi,usifananishe South Africa na Tanzania,jiulize wangapi South wanaweza kununua ving'amuzi na kulipia malipo kila mwezi,pia jiulize swali hilohilo kwa Tanzania.
Kuhusu miaka 10 ni kwamba Azam pia watatakiwa kununua vifaa,Kama camera,magari ya matangazo ambayo ni gharama kubwa,kuwapa mafunzo wafanyakazi nk.
Sasa akipata mkataba wa miaka mitatu anaweza kupata hasara maana itabidi ashindanie tenda na anaweza kukosa, kwahiyo Kuna ambo mengi Sana kuhusu huo mkataba.
Uhuru unao Kuna muda inatakiwa ujifunze kuangalia jambo kwa maslahi mapana sana ya vilabu na maendeleo ya sokaView attachment 1801962
Nimekwambia kasome ipo website ya Tff kama hutaki kaushaHil ndiyo Tenda ?
Afu nisadie kumtaja aliyesema atatoa au alitoa dau kubwa kuliko azam tv ili tukuelewee tofaut na hapo ntakuona unaleta ushilawadu tuHil ndiyo Tenda ?
Mimi sijapanic unaongea vitu vingine as if hujaenda shule tumekujibu tenda ilitangazwa washindani wa Azam walishindwa na mkataba ilikuwa ni kipindi cha miaka 10 sio kuwa azam watu waliamua. Tujifunzee kuangalia mbali cha pili kiuchumi huyu azam ni mzawa na pesa Nyingi ka invest in our country na Chachu ya dau lake ataleta mageuzi makubwa kwenye soka nchi hii
Next Time inatakiwa ufikili kitu kwa upana zaid
Ndugu yangu roho sana.
Unataka uwe mkataba wa miaka 5 hili mapesa yote achukue simba
Afu nisadie kumtaja aliyesema atatoa au alitoa dau kubwa kuliko azam tv ili tukuelewee tofaut na hapo ntakuona unaleta ushilawadu tu
Taja huyo aliyetaka kuweka hizo 800b hadi 1Tl? Otherwise huu utakuwa umbea na udaku tu
Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app
Ila bongo kuna watu wapuuzi kweli. Hao dstv mnaowazungumzia mwaka karibu wa 10 huu mbona hawajitokezi? Hivi unajua dstv wana subscribers wangapi hapa bongo? Compared to Azam? Unadhani dstv anaweza kuweka mpunga kama walioweka Azam? Dstv abaki na EPL tu huku asahau. Azam amefanya jambo la maana sana tena sana. Mdhamini mkuu wa ligi sasa lazima ajipange sana sio yale mambo ya 80m au 100m kwa bingwa. Hapana.
Nakumbuka dstv waliwahi kujitolea kuonyesha games kama 5 za majaribio 2012 majibu waliyapata wakasepa mazima. Bongo wana subscribers ni wachache sana. Hiyo EPL tu watu wanaangalia vibanda umiza n mabaa. Itakuwa VPL [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app
Wewe mbabaishaji tu jibu swali unarukaruka tu. TAJA JINA LA HUYO ALIYETAKA KUWEKA 800b HADI 1T?Unauliza swali huku unakuwa Judgemental . Wabongo sisi hatuwezi mijadala ya akili .
Ulipaswa kuuliza hivi; taja huyo aliyeweka 800 Bil Hadi 1T.
Watanzania tuna poor communication skills , ndio manaa kwenye international forums za ku agree to disagree hukuti MTZ
Wewe una stress unataka kuzitolea huku. Hivi unaweza kuuliza upuuzi kama huo hapa eti kwanini DSTV wamewekeza PSL sana? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bye.Unadhani kwanni DSTV ameweza kuwekeza SA na anatoa mpunga wa maana?
Je unajua sheria za Frameworks Agreement kwa sheria za manunuzi ya umma na kanuni zake ?
Mkuu do not act like caged bird anaeamini to FLY is a sin.
Mkataba utakuwa unaongezeka thaman kila mwaka mpaka kufika hiyo bilioni 225 kwa miaka hiyo kumiHoja ya pili hapa ni huo mkataba wa miaka 10 kwa bili 225 bila ya kujali other factors na value for money.
Chief..DStv kule ni kwao..ni sawa na hata tz Azam TV ni kwao..so hata DStv angekuwa na base kubwa hapa angejitikeza na kutoa mpunga mkubwa..tuUnadhani kwanni DSTV ameweza kuwekeza SA na anatoa mpunga wa maana?
Je unajua sheria za Frameworks Agreement kwa sheria za manunuzi ya umma na kanuni zake ?
Mkuu do not act like caged bird anaeamini to FLY is a sin.
Mk54.« Sasa akipata mkataba wa miaka mitatu anaweza kupata hasara maana itabidi ashindanie tenda na anaweza kukosa, kwahiyo Kuna ambo mengi Sana kuhusu huo mkataba. »
[emoji1426][emoji1426][emoji1426][emoji1426][emoji1426]
Kwa maelezo yako hapo juu mjomba wewe ukienda pale TAKUKURU kuhojiwa , ujue ndiyo safari yako imefika hapo . Hautorudi tena maana mule mule ndani wana kaselo kao. Watakutunza mpaka wakupeleka
Kisutu kwa maelezo zaidi.
Taratibu hazipo hivi chief, suala la cost operations halina uhusiano na contract duration. Ni aina nyingine ya UKAKASI ulio jificha. Hauwezi plan kuandaa Mkataba wenye favor kwa Supplier au service provider eti kisa atakuwa na operation cost kubwa hivyo tumpe wa muda mrefu ili apate faida bila ya kujali VFM. UTAFUNGWA WEWE!
Umeongea kitu cha ajabu sana. Probably ni out of your knowledge
Mkuu Mk54 Unafanya arguments na Watu Ambao Hata Utaratibu Wa tender hawaujui, Juzi Kati Mkuu Fohadi Alitoa Hoja Kama Hii na akainisha Mkataba ulivyo na Jinsi Azam TV watakzvyopiga Hela within Hyo 10yrs Lakini Watu wakaja na Hoja ya sjui Azam katutoa mbali sjui Nini na Nini... Hongera kwa Hii hojaHuo ushindani wa ligi unaongezeka vipi ikiwa Azam kapewa pin ya 10 years?
Maneno kama Akili ndogo au kutafuta kazi ya uchambuzi haina uhusiano na Mjadala huu.