Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Mwanasoka bora duniani ambaye bado anawaacha Mapaparazi vinywa wazi juu ya ukweli wa watoto wake Mapacha (Eva na Mateo) na hata Cristiano Jr, wako wapi Mama za hawa watoto
.
Issue ya Mapacha hawa wawili kwa mujibu wa ripoti kutoka nchini Marekani, walizaliwa kwa 'surrogacy' yani mbegu za Cristiano Ronaldo zilitumika kustawisha mayai ya Mwanamke mmoja huku Marekani (surrogate mother)
.
Taarifa juu ya Mama Mzazi wa watoto hawa inabaki kuwa siri kubwa, kwa mujibu wa documents na vyeti vya kuzaliwa wameandikishwa na jina moja tu la Baba na sehemu ya Mama haijawekwa jina
.
Zaidi pia hawajatumia Dos Santos Aveiro kama jina mwisho, watoto hawa wameishia tu Dos Santos, nchini Marekani uzao wao wameuanisha kama surrogacy japo Ureno anapotokea sheria inakataza kabisa
.
Inaaminika kuwa Mapacha hawa walizaliwa mishale ya 9:07 asubuhi mji moja La Mesa jimboni California Marekani, ni kama maili 20 tu kufika mpakani mwa Marekani na Mexico, walizaliwa chini ya uangalizi na usiri mkubwa
.
Wakati unawaza kuhusu Mapacha wake, bado ripoti za utata juu ya Cristiano Jr (Mwanae wa kwanza) inasemakena huyu ana Mama ambae alikuwa Muhudumu wa Bar moja huko New York, Marekani
.
Alikutana na Cristiano wakati anakipiga Manchester United, usiku huo inasemekana Ronaldo aliomba kulala nae, huku ikidaiwa Binti ana asili ya Uingereza na Marekani
.
Miezi kadhaa kupita baada ya kujigundua ni mjamzito aliwasiliana na wakala wa Ronaldo (Jorge Mendez) walikubaliana nae baada ya kufanya paternity tests (vipimo) na Ronaldo kuridhika ujazito kweli ni wake
.
Vyanzo vinadai Ronaldo alitaka usiri mkubwa, alimlipa Binti Pauni Million 10 ( takribani Billion 20 za Kitanzania) kutunza siri na kupoteza haki zote za Mtoto, yani mtoto ni wa Ronaldo tu, ingawa inaaminika mpaka kesho bado anamsaidia Binti kiuchumi
.
Mtoto pekee mwenye Mama wa kufahamika ni Alana Martina (Binti yake wa mwisho) aliyezaa na Georgina Rodriguez ambaye ni mpenzi wake
.
Kwanini anaficha Mama wa watoto wake watatu bado haijulikana, ibaki kuwa Nyuma ya Pazia na hata sifa kubwa ya kufanya kazi kwa Ronaldo ni usiri mkubwa (Privacy) ni kazi mno kujua mambo yake
Channel name @chakushangaza
Link t.me/chakushangaza
SAMBAZA MARA NYINGI UWEZAVYO