Dear_me_
Member
- Dec 31, 2022
- 43
- 87
Wakuu mambo vipi
Kuna muda unakaa unawaza hakuna muda uliwahi kuishi kwa furaha unahisi shida ulizopitia ni nyingi kuliko siku za furaha na maisha nyumbani sio mabaya sana wazazi wote wapo ila tu unataka upambane mwnywe kwa ajili ya maisha. Yako
🌍 Kuna watu wanatoka familia ambazo wazazi wao huwapa kila wanachokitaka 👨👩👧👦✨ na ndugu zao huwapa support ya kutosha katika safari zao.
Lakini kuna sisi tunaoishi maisha tofauti. Wazazi wetu wametupa kidogo kilichopatikana, na tumeanza kubeba jukumu la kukomboa familia katika umri mdogo bila kazi ya maana.
💔 Tunapitia changamoto ngumu sana ambazo hata rafiki zetu au wazazi wetu hawazijui.
Na kama una mtoto/watoto sometimes tunaficha maumivu yetu, wasijue sio kwa sababu hawana nafasi muhimu, bali kwa sababu tunaogopa kuwavunja moyo.
Ata kuombwa picha, tunatuma zile nzuri tu 📸…
Mitandaoni tunapost picha zenye maana mara umevaa suit mara uko hotel flan si kwa kuonesha “kujivimbisha” bali ni kuwalinda wale wanaotutegemea wasione maumivu tunayopitia.
🎯 Tumebeba matumaini ya watu wengi nyuma yetu.
Mafanikio yetu = mafanikio yao ✅
Anguko letu = anguko lao ❌
🤲 Mwenyezi Mungu ndiye tegemeo letu. 🕊️ Labda Riziki imegawanywa na kila mtu ana lake kwa wakati wake.
🙏 Kwa wewe ambaye tayari Mungu amekupa mafanikio fulani,mshukuru. Na Kumbuka kumbuka kutushika mkono tuliobaki uko ni baraka ndugu yangu
Kama wewe ni mwanaume kama mimi
unaelewa ile hali unaombwa hela ya kula na mwanaume mwenzio 🙌 inauma sana na inagusa moyo tofauti ukiombwa na mdada
Siku njema wakuu ilo🏃