conservative3
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 1,129
- 790
Km tumejiwekea sheria alafu hatuwezi kuzitii.kulikua hakuna haja ya kuwa na sheria au kutenga maeneo hasa ya hifadhi.je ungependa wapigane? Sheria ya hifadhi za taifa zinasemaje? Nchi inapozidi kupata wasomi tutarajie uelewa uongezeke na si vinginevyo.Hata Said Mwamwindi 'kosa lake' ni kulima zao lisilotakiwa kulimwa lakin hakukimbilia 'ITV' matokeo yake alitafakari akachukua Hatua
ahahahahahahahahaaaa!!!!Dr. Kleruu wapo wengi sana Nyakati hizi ila Majasiri kama akina Said Mwamwindi hawapo!!
Huyu Mkulima alimtandika Risasi RC akamtia kwny Trekta lake akampeleka kwa RPC akamwambia nimewaletea Mzoga Wenu.
Juzi kati hapa Mgambo tu wa TANAPA wameharibu mashamba ya Mahindi zaid ya heka 400 huko Mbeya kisa wamelima kwenye Hifadhi, halafu wanakijiji wanakimbilia ITV !!!
Haya maneno yanatoka kwako ndugu yangu??Dr. Kleruu wapo wengi sana Nyakati hizi ila Majasiri kama akina Said Mwamwindi hawapo!!
Huyu Mkulima alimtandika Risasi RC akamtia kwny Trekta lake akampeleka kwa RPC akamwambia nimewaletea Mzoga Wenu.
Juzi kati hapa Mgambo tu wa TANAPA wameharibu mashamba ya Mahindi zaid ya heka 400 huko Mbeya kisa wamelima kwenye Hifadhi, halafu wanakijiji wanakimbilia ITV !!!
Ni kweli, Dr. Kleruu hakuwa na ethics. Siku hiyo ya krismas aliyokumbwa na mauti aliondoka kwenda kumchukua yule mwanamke wa mzee Mwamwindi bila hata kuwa na dereva wala askari mlinzi. Kwa bahati mbaya alipofika pale akamkuta mzee Mwamwindi mwenye mali mwenyewe akiwa yupo nyumbani. Yaliyobaki leo ni historia tu.hapana mwamindi alikua anapinga kuchukuliwa mke wake mdogo na Dr. Kleruu
Na mimi ndivyo nilivyo adithiwa, wa lisema siku yenyewe ilikuwa ni Chrismas kama nakumbuka vizuri.
Inaelekea Dk. Kleruu (RIP) alipata taarifa kuhusu Mwamwindi kuwepo shambani kwake akiwa na wafanyakazi wake - nadhani mwaka huo ndio itikadi za ujamaa zilikuwa zimepamba moto nchini, mabepari wakawa wanafananishwa na wanyama,wakaitwa wanyonyaji, wanaibwa kwa nyimbo za kejeri na chuki - yaani wananchi walikuwa primed kuwaona mabepari kama ni wabaya kuliko wakoloni.
Misimamo ya kuchukia Ubepari nchini ilikuwa ina walakini sana, kuna baadhi ya wananchi waliokuwa na uwezo kifedha walipata wakati ngumu sana kwa kunyaganywa mali zao walizo chuma kwa jasho lao!!
Atittude zilizokuwa zimejengeka wakati huo ndizo zilimpa jeuri Dk.Kleruu kwenda kumudhihaki/dhalilisha Mr.Mwamwindi skiwa shambani kwake - kisa? Mwamwindi ni bepari, eye witness walisema walimuona Dk.Kleruu ameshikilia kifimbo akikisukuma sukuma kwenye tumbo la Mwamwindi - hakuna mwanamume worthy his salt angeweza kuvumilia provocation ya kiwango hicho - alicho kosea Mwamwindi ni kule kwenda kuchukua Rifle kutoka nyumbani kwake na kurudi shambani kumpiga risasi Dk.Kleruu - sasa time lag ya kutoka shambani kwenda nyumbani kuchukua bunduki na kurudi tena shambani hasira zilipashwa kuwa zimepungua ndio maana mahakama ilimuhukumu kunyongwa kutokana na kuonekana kwamba iliuua kwa kukusudia "murder case"
Ile ilikuwa sera yakutaifisha mali za waislamu wengi waliojaa mijini na vijijini hasa Dar, kumbuka huko maporini shinyanga na kigoma kulikuwa na simba na mafisi tu ndio wametawala. Mfano likaundwa shirika la nyumba ili kujimilikisha nyumba za waislamu waliowengi.
Kama Mwamwindi angekuwa na bunduki shambani alafu Dk.Kleruu akaja akamu-provoke hapo angehukumiwa kuua bila ya kukusudia akafungwa kwa muda.
Ni kweli, Dr. Kleruu hakuwa na ethics. Siku hiyo ya krismas aliyokumbwa na mauti aliondoka kwenda kumchukua yule mwanamke wa mzee Mwamwindi bila hata kuwa na dereva wala askari mlinzi. Kwa bahati mbaya alipofika pale akamkuta mzee Mwamwindi mwenye mali mwenyewe akiwa yupo nyumbani. Yaliyobaki leo ni historia tu.
Hii siyo kweli, Mwamwindi hakwenda shamba na gobole lake alilotumia kufanya mauaji. Dr Klerru alipigwa gololi la gobole kifuani akiwa nyumbani kwa Mwamwindi, ndipo mzee huyo akavuta mwili huo na kuuweka ndani ya buti la ile Peugeot 404 ya mkuu wa mkoa aliyokuwa amekuja nayo ikiwa na bendera taifa na kwenda polisi mkoani akiwa na gobole alilotumia kummaliza mwizi wa mke wake.Dr.Kleruu alipigwa Risasi Shambani kwa Mwamwindi akiwa Kaenda kumzuia asilime Mazao anayoyataka badala yake alime zao la biashara kwa Gharama zake halafu akawauzie vyama vya ushirika kwa bei waliyojipangia serikali halafu watalipa siku wakijiskia, hata Risasi alipigiwa shambani sio gesti wala kitandani.
Enzi zile ni enzi za Propaganda kama uliweza kuaminishwa Iddi Amin anakula watu na wewe ukaamini huwezi kuacha kuamini uongo eti kisa Kilikuwa uzinzi!
mi ni mzaliwa wa matembo babu yako ni nani?Upo sahihi kabisa Isimani imekua kama jangwa nlipita kwa babu kijiji cha Matembo nikaoneshwa mashamba yake ya zamani ambayo yalitaifishwa enzi hizo yamebaki pori tuu
Dr. Kleruu wapo wengi sana Nyakati hizi ila Majasiri kama akina Said Mwamwindi hawapo!!
Huyu Mkulima alimtandika Risasi RC akamtia kwny Trekta lake akampeleka kwa RPC akamwambia nimewaletea Mzoga Wenu.
Juzi kati hapa Mgambo tu wa TANAPA wameharibu mashamba ya Mahindi zaid ya heka 400 huko Mbeya kisa wamelima kwenye Hifadhi, halafu wanakijiji wanakimbilia ITV !!!
Mimi nipo ila hawajafika shambani kwangu nitawafanya kama mwanaCCM mwenzao. ila umechapia mkuu hakumuweka kwenye trecta yake ila alitumia gari ya marehemu na hakumpeleka kwa rpc ila kituoni alimkuta askari kijana mmoja hivi
Mambo haya, yalikuwa yakifanyika nyumbani kwa Mwamindi, siku ya mapumziko?mwamindi alikuwa anapinga unyonyaji. ujamaa ni mfumo wa kinyonyaji.
inasemekana jamaa alikuwa na bifu vilevile, mkulu huyo alikuwa anambandulia moja wapo wa wake zake, kun asiri nzito inavyosemekana.Mwamwindi alihukumiwa kunyongwa hadi kufa maana waliprove kosa la kuuwa kwa kukusudia
Asante kumbe yako mengi sanaSasa hivi "yule kijana" Ni Mzee. Ni mstaafu.Ni Mzazi wa Wana michezo walio pata kutamba hapa nchini. Mmoja kwenye Soka na mwingine kwenye Mpira wa Pete..Huyu "Askari kijana mmoja hivi.." bado yu hai..
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mbona ni kama uliipiga picha kwa kujifichaficha na kwa taabu sana. Au na wewe ulimuona mkulima Mwamwindi?