Nyumba anayodai Polepole imevunjwa siyo makazi yake ya kibunge, analaghai Umma akishirikiana na aliowakuza awamu iliyopita

Acheni ujinga wenu hapa. Hamuwezi kujadili masual ya maana, angalau namna ya kuinua maisha na mifumo badala ya majungu yenu ya kipumbavu? We are tired of you idiots. Kwa nini hamkusema habari hizi wakati akiwa bado yuko akpiga makofi ya kipumbavu?
Umeandika nini hichi?
 
Mbona na wewe unaonyesha ujinga zaidi ya mleta post,Kama wewe siyo mjinga ,kwanini uujadili ujinga na kufanya uonekane huna kazi ya kufanya?
 
Utawala dhalimu wa Magufuli umetusaidia kuwatambua watu wa hovyo kabisa, wasio na misimamo, watu wanafiki ambao wapo tayari kufanya chochote kwaajili ya ustawi wa matumbo yao:

Polepole ni rubbish katika siasa za kidemokrasia. Polepole ni uchafu katika uongozi kwa sababu ni kigeugeu. Polepole ni takataka katika siasa za kimaadili kwa sababu anahongeka kwa cheo. Polepole ni mnafiki kwa sababu hakuna anachokisimamia, msimamo wake unategemea yupo wapi, kwenye benchi au ndani ya Serikali.

Hiyo shule anayoiita ya uongozi, atawafundisha vipi watu uongozi wakati yeye mwenyewe hana sifa ya uongozi? Hiyo shule, hakuna chochote anachokilenga, zaidi ya kuwalenga waliopo kwenye Serikali mpya, kuonesha hawafai bali yeye na ile Serikali yake ya utekaji, data za uwongo, uminyaji wa uhuru, haki na demokrasia ndiyo walikuwa wanajuwa kuongoza.
 
Kilichoandikwa kwenye huu uzi ni unaa mtupu. Rekebisha bandiko lako halijakaa sawa.

Bila kusahau, bavicha nyie ni vichwa Maji. Hamjui mlitakalo na hamna misimamo.
 
Polepole anatafuta namna ya kuwafanya Wananchi wajinga, anatafuta namna ya kutumia kile chumba anachodai kimevunjwa kuonyesha Wananchi kwamba yeye ni mzalendo na hakujilimbikizia Mali, anataka kuonyesha Wananchi kwamba yeye ni fukara na mtu wa kiwango Cha chini kimaisha. Tumpuuze

Kwanini ameyafanya haya? Kwanza anataka kubadili upepo na agenda za kitaifa ikiwemo katiba Mpya na kutamka kurejea kwenye meza ya mazungumzo ndani ya CCM akionekana mwanamikakati. Hii tabia ya miaka mingi inayotumiwa na walafi wa madaraka.
Pili anataka yeye pamoja na vibaraka wake endapo mfumo utaamua kufungua shauri na kuchunguza MATENDO yake ndani ya chama na adhari zake kwenye serikali basi arudi Kwa Wananchi kupitia picha alizotuma apate uungwaji MKONO kwamba anaonewa. Mfano mzuri WA eneo analojua linaweza kumpeleka mahakamani kwa makosa ya Uhujumu uchumi ni pamoja na kununua wapinzani ambapo mfano wa wazi ni kile kitendo Cha yeye kupeleka milioni 30 mahakamani kumnunua Mashinji.
Tatu, kupitia tukio hili anataka kunyamaza atuaminishe amenyamazishwa kumbe maovu yake huko nyuma yalishamnyamazisha Toka mteule wake wa awali alipoondoka.

Polepole amekuwa live kwenye shule yake sijui ya siasa na mandhari aliyokuwa anarushia matangazo ipo wazi, anamzuga Nani? Wabunge Wana nyumba Dodoma yeye alikwenda kupanga chumba Kwa kukosa Kodi au kwa sababu gani? Mbunge Hana viti Wala kitanda, hizi michezo inatuondoaje kwenye reli? Lakini pia kaongea Dar mara kesho yake anadai alikuwa Manyara na anarudi Dodoma ndo anakuta pamevunjwa je Hana majirani? Hawa watu wanapeana michongo ya kututawala Kwa kupanua magoli , tushtuke uhuni huu.
Bite ebu weka nondo vzuri umeandika kwa hasira fafanuauhuni wa kupanua magoli ni upi?
 
Kwani Hana watoto?
alafu wenzie walikuwa wanabinywa pumbu,wanang'olewa kucha na plaiz,wanang'olewa meno,wanapigwa, wanauliwa.
Yeye hata kuguswa hajaguswa.
Angalia Zanzibar kipindi Cha uchaguzi watu walivyoteseka .
Aliongea nini?
Ulimboka na Kubanda walifanyiwa hayo awamu ya 4, Msimamizi Mkuu wa polisi tukio la Mwangosi kule Nyololo alipandishwa cheo
 
Utawala dhalimu wa Magufuli umetusaidia kuwatambua watu wa hovyo kabisa, wasio na misimamo, watu wanafiki ambao wapo tayari kufanya chochote kwaajili ya ustawi wa matumbo yao:

Polepole ni rubbish katika siasa za kidemokrasia. Polepole ni uchafu katika uongozi kwa sababu ni kigeugeu. Polepole ni takataka katika siasa za kimaadili kwa sababu anahongeka kwa cheo. Polepole ni mnafiki kwa sababu hakuna anachokisimamia, msimamo wake unategemea yupo wapi, kwenye benchi au ndani ya Serikali.

Hiyo shule anayoiita ya uongozi, atawafundisha vipi watu uongozi wakati yeye mwenyewe hana sifa ya uongozi? Hiyo shule, hakuna chochote anachokilenga, zaidi ya kuwalenga waliopo kwenye Serikali mpya, kuonesha hawafai bali yeye na ile Serikali yake ya utekaji, data za uwongo, uminyaji wa uhuru, haki na demokrasia ndiyo walikuwa wanajuwa kuongoza.
Can you provide vivid and non-repudiation evidences to subsistence your claims against polepole?
 
Ulimboka na Kubanda walifanyiwa hayo awamu ya 4, Msimamizi Mkuu wa polisi tukio la Mwangosi kule Nyololo alipandishwa cheo
Hata ya 5 .ndo usiseme plaiz zimetembea sana.
Viongozi wa upinzani kukaa rumande ilikuwa kawaida.
Ukipishana tu na mamlaka wewe NI adui.
Alafu Leo mtu anakuja kutufundisha "shule ya UONGOZI"
wakati yeye mwenyewe alikuwa kiongozi na akachemka.
 
Can you provide vivid and non-repudiation evidences to subsistence your claims against polepole?
1.vijana wa LUMUMBA BUKU 7 aliwatafuta yeye
2.alifurahia mateso yote waliyokuwa wakiyapata viongozi wa upinzani.
3.alikuwa anajisifu na kupandisha mabega juu anatamba kwamba hakuna chama Kama ccm na UONGOZI wao ulikuwa sahihi.
4.ulitokea wizi wa kura na mabegi ya kura feki yalivyokamatwa hakusema chochote zaidi ya kumtetea na kukenua meno.
HUYU ANAFAA KWELI KUWA MWALIMU WA SHULE YA UONGOZI?
 
Wanampeleka POLE POLE Haraka Haraka
20211213_202551.jpg
 
Wanampeleka POLE POLE Haraka Haraka
Lakini pia kaongea Dar mara kesho yake anadai alikuwa Manyara na anarudi Dodoma ndo anakuta pamevunjwa je Hana majirani? Hawa watu wanapeana michongo ya kututawala Kwa kupanua magoli , tushtuke uhuni huu.[emoji23]
 
Polepole anatafuta namna ya kuwafanya Wananchi wajinga, anatafuta namna ya kutumia kile chumba anachodai kimevunjwa kuonyesha Wananchi kwamba yeye ni mzalendo na hakujilimbikizia Mali, anataka kuonyesha Wananchi kwamba yeye ni fukara na mtu wa kiwango Cha chini kimaisha. Tumpuuze

Kwanini ameyafanya haya? Kwanza anataka kubadili upepo na agenda za kitaifa ikiwemo katiba Mpya na kutamka kurejea kwenye meza ya mazungumzo ndani ya CCM akionekana mwanamikakati. Hii tabia ya miaka mingi inayotumiwa na walafi wa madaraka.
Pili anataka yeye pamoja na vibaraka wake endapo mfumo utaamua kufungua shauri na kuchunguza MATENDO yake ndani ya chama na adhari zake kwenye serikali basi arudi Kwa Wananchi kupitia picha alizotuma apate uungwaji MKONO kwamba anaonewa. Mfano mzuri WA eneo analojua linaweza kumpeleka mahakamani kwa makosa ya Uhujumu uchumi ni pamoja na kununua wapinzani ambapo mfano wa wazi ni kile kitendo Cha yeye kupeleka milioni 30 mahakamani kumnunua Mashinji.
Tatu, kupitia tukio hili anataka kunyamaza atuaminishe amenyamazishwa kumbe maovu yake huko nyuma yalishamnyamazisha Toka mteule wake wa awali alipoondoka.

Polepole amekuwa live kwenye shule yake sijui ya siasa na mandhari aliyokuwa anarushia matangazo ipo wazi, anamzuga Nani? Wabunge Wana nyumba Dodoma yeye alikwenda kupanga chumba Kwa kukosa Kodi au kwa sababu gani? Mbunge Hana viti Wala kitanda, hizi michezo inatuondoaje kwenye reli? Lakini pia kaongea Dar mara kesho yake anadai alikuwa Manyara na anarudi Dodoma ndo anakuta pamevunjwa je Hana majirani? Hawa watu wanapeana michongo ya kututawala Kwa kupanua magoli , tushtuke uhuni huu.
Kweli mkuu hii spinning kuwatoa watu kwenye reli kuna mambo mengi ya msingi yanayohitaji kufanyiwa kazi haraka
 
Yaani katika mada uliyokurupuka kuandika ni hii binti yangu Beatrice Kamugisha, yaani ni bora ungeomba mods waondoe hili andiko, nimetaka kujibu nafsi inasita.

Mengi umeqndika imagination, japo...
👉🏾 Naendelea kujifunza tabia ya binadamu.
 
Nyumba ya Polepole kuvunjwa haijalishi iwe ya kibunge au ya kiraia huo ni uhalifu na unatakiwa kufanyiwa kazi na jeshi la polisi bila kujali chochote.

Kusema Polepole anajikweza kisa nyumba yake haikuwa na mali nao ni ushamba tu, ingekuwa na mali nyingi naamini pia ungesema Polepole fisadi, kuwa na mali nyingi au chache ni life style ya mtu yeyote anajiamulia, sio kigezo cha uzalendo, na sio kila mwenye mali nyingi au chache ni mwizi au mtakatifu, hizi sababu nyepesi ulizo leta hapa hazina mashiko.

Kuhusu majirani sidhani kama Polepole ameajiri majirani zake wawe walinzi wake, nao wanakazi zao, una hakika wakati wa tukio hao majirani walikuwepo nyumbani? na kama walikuwepo hawakuwa na shughuli nyingine wakawa wametega macho na masikio yao kwa Polepole tu?

"Ushuani" ni tofauti na "uswahilini" ambapo kila anaeingia na kutoka huonekana, hata ukila maharage kwako majirani wote wanajua, usikariri maisha yako ukayahamishia kwa mwenzako.

Siku hizi watu wanapanda ndege wanazunguka karibia nchi nzima kwa siku moja, wewe unashangaa umbali kati ya Manyara na Dodoma ambao hata kwa gari mtu anafika? hizi mindset zenu....

Hicho kikao walichokaa Polepole na CCM wenzake ili watuondoe kwenye lengo la msingi [Katiba Mpya] kilifanyika lini na wapi? Kila siku mnalilia mikutano ya kisiasa irudishwe kwa wote, ila Polepole kutoa maoni yake apuuzwe!, hamkumbuki anayemnyima Polepole ndie anaewanyima nyie.

Sio kwasababu Polepole ni mwanasiasa mwenye mawazo tofauti na kambi yake ndio aanze kutengwa na kutafutiwa sababu za kila aina, ajibiwe hoja zake maisha yaendelee, kwasababu ni haki yake kutoa maoni na wanaoulizwa sharti wamjibu wasimtishe, kumkejeli, au vyovyote vingine.

Haiwezekani leo kutaka Polepole apuuzwe kwa kutoa hoja zake, ila nyie "wana demokrasia" mkitoa hoja zenu mtake zijibiwe, hii ni double standard, haki haina mipaka na haichagui sura, kama mnaona Polepole ana makosa nendeni mahakamani na hao wenzenu mliowaunga mkono bila kujitambua, opposition is an art.
Well said mkuu heshima kwako, tungekuwa na watu wa fikra Kama zako... Tungefika mbali.........kwa Sana nawaona jinsi fiCM na mCHwADEMA (nawaita WAHUNI) wanavyo tumia nguvu nyingi sana pole pole apuuzwe....😀😀😀 Inachekesha Sana.
 
Katika Hii ya Polepole upinzani umeingia mkenge,kuungana na CCM kumpinga Polepole.
Jana Star TV kwenye kipindi Cha "The big Agenda" John Heche alijiunga na mbunge wa CCM (nimesahau Jina)kumpiga vijembe Polepole!
Chadema wajichunge wasitolewe kwenye reli na CCM kwa hizi issue za Polepole.
Jamaa huenda yupo kimkakati!
Raphael Chegeni.!
 
Hata ya 5 .ndo usiseme plaiz zimetembea sana.
Viongozi wa upinzani kukaa rumande ilikuwa kawaida.
Ukipishana tu na mamlaka wewe NI adui.
Alafu Leo mtu anakuja kutufundisha "shule ya UONGOZI"
wakati yeye mwenyewe alikuwa kiongozi na akachemka.
Kiongozi hapa ndio tunafeli elimu ya uongozi ya Polepole ni yenye manufaa hasa kwa serikali yenye nia njema, Polepole hatukani mtu tatizo tumechelewa kwenye tasnia ya akili pevu. Watanzania tunaogopa elimu ndiomana tuko vilaza level za kimataifa sisi ni mabubu na mandezi.

Raia wema hupimwa kwa akili na werevu wao kwenye mambo yenye tija katika kuiona hio tija.

Tatizo ni uoga wenye ujima bali si maudhui ya Polepole. Hasira kisasi ububu enzi za Magufuli ulikuwa wa kujitakia.

Delegating leadership ya Rais Samia inahitaji watu kama akina Polepole kwa tathimini,hadidu rejea na fikra mbadala.

Some Presidents hawanaga historia za taasisi na muda wa kusoma ama kujua hawana sasa kuagiza tu kwa kusema mkakae au tutalifanyia kazi,tutaliangalia,tutaona namna ya kufanya inaleta shida scope ya utendaji ya hao wasaidizi, kingine upesi wa kumbukumbu na deadline kwa maagizo pamoja na ufuatiliaji.
 
Polepole anatafuta namna ya kuwafanya Wananchi wajinga, anatafuta namna ya kutumia kile chumba anachodai kimevunjwa kuonyesha Wananchi kwamba yeye ni mzalendo na hakujilimbikizia Mali, anataka kuonyesha Wananchi kwamba yeye ni fukara na mtu wa kiwango Cha chini kimaisha. Tumpuuze

Kwanini ameyafanya haya? Kwanza anataka kubadili upepo na agenda za kitaifa ikiwemo katiba Mpya na kutamka kurejea kwenye meza ya mazungumzo ndani ya CCM akionekana mwanamikakati. Hii tabia ya miaka mingi inayotumiwa na walafi wa madaraka.
Pili anataka yeye pamoja na vibaraka wake endapo mfumo utaamua kufungua shauri na kuchunguza MATENDO yake ndani ya chama na adhari zake kwenye serikali basi arudi Kwa Wananchi kupitia picha alizotuma apate uungwaji MKONO kwamba anaonewa. Mfano mzuri WA eneo analojua linaweza kumpeleka mahakamani kwa makosa ya Uhujumu uchumi ni pamoja na kununua wapinzani ambapo mfano wa wazi ni kile kitendo Cha yeye kupeleka milioni 30 mahakamani kumnunua Mashinji.
Tatu, kupitia tukio hili anataka kunyamaza atuaminishe amenyamazishwa kumbe maovu yake huko nyuma yalishamnyamazisha Toka mteule wake wa awali alipoondoka.

Polepole amekuwa live kwenye shule yake sijui ya siasa na mandhari aliyokuwa anarushia matangazo ipo wazi, anamzuga Nani? Wabunge Wana nyumba Dodoma yeye alikwenda kupanga chumba Kwa kukosa Kodi au kwa sababu gani? Mbunge Hana viti Wala kitanda, hizi michezo inatuondoaje kwenye reli? Lakini pia kaongea Dar mara kesho yake anadai alikuwa Manyara na anarudi Dodoma ndo anakuta pamevunjwa je Hana majirani? Hawa watu wanapeana michongo ya kututawala Kwa kupanua magoli , tushtuke uhuni huu.
Ulishawahi kuvunjiwa nyumba kupitia dirishani na wahuni wewe?

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Kiongozi hapa ndio tunafeli elimu ya uongozi ya Polepole ni yenye manufaa hasa kwa serikali yenye nia njema, Polepole hatukani mtu tatizo tumechelewa kwenye tasnia ya akili pevu. Watanzania tunaogopa elimu ndiomana tuko vilaza level za kimataifa sisi ni mabubu na mandezi.

Raia wema hupimwa kwa akili na werevu wao kwenye mambo yenye tija katika kuiona hio tija.

Tatizo ni uoga wenye ujima bali si maudhui ya Polepole. Hasira kisasi ububu enzi za Magufuli ulikuwa wa kujitakia.

Delegating leadership ya Rais Samia inahitaji watu kama akina Polepole kwa tathimini,hadidu rejea na fikra mbadala.

Some Presidents hawanaga historia za taasisi na muda wa kusoma ama kujua hawana sasa kuagiza tu kwa kusema mkakae au tutalifanyia kazi,tutaliangalia,tutaona namna ya kufanya inaleta shida scope ya utendaji ya hao wasaidizi, kingine upesi wa kumbukumbu na deadline kwa maagizo pamoja na ufuatiliaji.
hyo shule yake mbona hajafundisha kipindi akiwa ni katibu wa itikadi na uwenezi wa CCM.
Ndo maana tunamuona huyo ni mpiga kelele tu.
Mchumia tumbo lake.
Kwanini hyo shule ianze awamu hii?
Sijui unaelewaaa?
 
Back
Top Bottom