Nyumba anayodai Polepole imevunjwa siyo makazi yake ya kibunge, analaghai Umma akishirikiana na aliowakuza awamu iliyopita

Katika riwaya mbovu nilizosoma mwaka huu...
Na hii ni moja wapo.
 

Sina hakika kama utakuwa umenisoma vyema. Hii ni extract moja kutokea kwenye uzi nilio ambatanisha:



Siangalii nyuso ila tabia zao:

"Pana watu wanang'aka na kuwaka kwa hasira kali wakiona agenda yoyote across parties zikiwa zinaelekea kuwapelekea watu kukaribiana kwa namna yoyote."

Yaonesha wana manufaa makubwa kwenye utengano wetu.

Si kuwa hawajui wanachokifanya ila hilo ndiyo lililo lengo lao kuu - kutusambaratisha:

Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa

Confusion kubwa unayoiona wakaanga mbuyu ni wao - wale wasiojulikana.
 
Kweli mkuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…