INAUZWA Nyumba Businde Kigoma

Hamna nyumba ya 25m hapo mkuu kuwa mkweli
Ukipiga gharama inapita ndugu. Kuoauwa tu ni 7.8 Milion. Ujenzi hadi ilipofika ni zaidi ya mil 15. Kiwanja n.k ni zaidi ya mil 2. Maongezi yapo lakini. Hapo pamejengwa Sink la maji pipa 80, umeme, maji ya KIUWASA. Inazidi sana ndugu. Ila mteja wa haraka tunakubaliana nimuuzie tu
 
Hatutakosana kwa mteja siriaz. Nami nina uhitaji sana kwa sasa
 
Wanunuzi mjitokeze tumalize biashara. Utafurahia ni nyumba kubwa sana, hiyo bei ukifika utaona kuwa umeuziwa ndogo sana.
Kama ww sio mnunuzi,niunganishe na muhitaji. Ni muhimu sana mauziabo kwa muda huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…