INAUZWA Nyumba Businde Kigoma

INAUZWA Nyumba Businde Kigoma

Mukose

Member
Joined
May 19, 2012
Posts
95
Reaction score
29
Inauzwa ipo Businde nyuma ya airport Kigoma mjini.

Bei 25,000,000

0689616537

Vyumba 4, kimoja masters, sebule kubwa, dinning, jiko,stoo.

Kiwanja 18 kwa 25.

IMG_20230415_171927_159.jpg
IMG_20230415_171904_225.jpg
 
Hamna nyumba ya 25m hapo mkuu kuwa mkweli
Ukipiga gharama inapita ndugu. Kuoauwa tu ni 7.8 Milion. Ujenzi hadi ilipofika ni zaidi ya mil 15. Kiwanja n.k ni zaidi ya mil 2. Maongezi yapo lakini. Hapo pamejengwa Sink la maji pipa 80, umeme, maji ya KIUWASA. Inazidi sana ndugu. Ila mteja wa haraka tunakubaliana nimuuzie tu
 
Hatutakosana kwa mteja siriaz. Nami nina uhitaji sana kwa sasa
 
Wanunuzi mjitokeze tumalize biashara. Utafurahia ni nyumba kubwa sana, hiyo bei ukifika utaona kuwa umeuziwa ndogo sana.
Kama ww sio mnunuzi,niunganishe na muhitaji. Ni muhimu sana mauziabo kwa muda huu.
 
Back
Top Bottom