Nyumba dogos!....:are they necessary evils?

Mpwa mi nimegonga senks kisha nikairemove! they are not here to stay...we make them stay mpwa! stuka!

tehe tehe mi nashauri ili kupunguza misuguano ziwe official kabisa, yaani mwenye ubavu amtambulishe kwa mamsapu kuwa huyu ndo anakusaidia kisha tuone kama zitaendeela kuwa na the same 'effect'.

FL1...noted with thanks!

Kaizer hivi kweli unaingia ndani na confidence unadai huyu ni my small house wangu..or my assistant duh ...sipati picha kamili
 
Mpwa mi nimegonga senks kisha nikairemove! they are not here to stay...we make them stay mpwa! stuka!

tehe tehe mi nashauri ili kupunguza misuguano ziwe official kabisa, yaani mwenye ubavu amtambulishe kwa mamsapu kuwa huyu ndo anakusaidia kisha tuone kama zitaendeela kuwa na the same 'effect'.

FL1...noted with thanks!
hahahahahha!MPWA MPWAAAAAAA!ukigonga senksi na kuirimuvu kwangu mimi ni kama chalenji!

wakati tunaendelea na mjadala!give me u r final msimamo!ARE THEY HERE TO STAY?(i expect YES-hahahah)
 
noted!i am getting something in my mind!
x-pin naomba upitie haya majibu na uyanoti vyema!NITAKUELEZA KWA NINI!

nyamayao nipe msimamo wako...!are they necessary evils?

Point well taken, noted and filed for further official use.
 
Hahaha! Hiyo bold nimekugongea senksi! Nadhani na mchumba atakuwa ameiona hiyo. Nikipata nyumba ndogo hatakaa ajue! Hahaha!

mbona mnalichukulia cmple cmple sana, hivi mwanamke gani umweleze huu upuuzi? labda awe hajitambui na ndoa iwe ni kila kitu kwenye maisha yake...allaaa
 
huyo ndo mume ulojichagulia....'kwa shida na raha, uzima na maradhi...' remember?

all in all if i ever get to know that NGULI ana kakibanda......patachimbika

Hahaha! Hiyo red nakutwangia senksi tatu mfilulizo kwa hapa. SENKSI, THENKS, THANKS
 
huyo ndo mume ulojichagulia....'kwa shida na raha, uzima na maradhi...' remember?

all in all if i ever get to know that jamaa ana kakibanda......patachimbika
Ohh my dear! Lakni ndio nampenda sasa.Lakini naomba endelea na moyo huo wa kunisaidia kumlinda.
By the way iam sorry sikuwepo w'end,nilikuwa na hamu ya kukuona .Hata hivyo nilipata salamu zako kutoka kwa shemejio(sore ofu topik)
 
mbona mnalichukulia cmple cmple sana, hivi mwanamke gani umweleze huu upuuzi? labda awe hajitambui na ndoa iwe ni kila kitu kwenye maisha yake...allaaa
PUNGUZA JAZBA LOVE!
naomba nikuulize swali la ziada!.........ARE NYUMBA NDOGOOOZ INEVITABLE EVILS?
 
yeuwiii mr, khaa! akiwa na ubavu huo yaani nitaamini kweli mr kidume, eeehh Mungu wangu.....halafu ategemee kuniita mkewe tena?

hehe Mrs bana....mi nimesema tu apo...kama kweli wapo basi hebu warasimishwe tuone...ilivo ni kuwa zimekuwa zikiliwa kwa kificho sasa kama kitu ni kizuri kwa nini ujifiche nacho? mtambulishe kisha tusikie na kuona kama zitedneelwa kuwepo au zitatoweka
 
yaani hawa mabinamu wamefurahi ... sijui kama Geoff bado ana alcoholic kichwani tetetetet blue monday
 
eeeh jamani naona kama mmeidhinisha hii ngoma kama ni kweli mnaipigia kampeni fanyeni kwa siri kubwa tena meki shua hatutajua ..
my husband kama unasoma post hii hebu kama unako ka twiga staa jaribu kufanya siri kubwa sana maishani mwako la sivyo nikijua utakuwa unani-kill very soft

Eh! Nlikua cjui kumbe RUKSA. Sasa dada nikitaka kuoa ntaku PM unitafutie kabinti kamoja portable kutoka katika ukoo wenu. Maana mimi ni msiri mmoja mkubwa sana. Si tatizo hilo. Au?.....
 
noted!i am getting something in my mind!
x-pin naomba upitie haya majibu na uyanoti vyema!NITAKUELEZA KWA NINI!

nyamayao nipe msimamo wako...!are they necessary evils?

my baby boy, cna mengi hapa! mcmamo wangu ni kwamba kama anae/hana atajijua mwenyewe, lakini chonde chonde hiyo itakuwa purukushani ya aina yake, afanye mpaka nijue kwa kweli kwangu hiyo ni dharau tosha, halafu linanijua vizuri yaani nitaharibu mazima kama mbaya iwe mbaya.
 
Karibu Mwanajamii naona ulihadimika mambo ya martenity nn haya?
 
Ohh my dear! Lakni ndio nampenda sasa.Lakini naomba endelea na moyo huo wa kunisaidia kumlinda.
By the way iam sorry sikuwepo w'end,nilikuwa na hamu ya kukuona .Hata hivyo nilipata salamu zako kutoka kwa shemejio(sore ofu topik)

You Can say that again!
 
hizo nyumba ndogo nyingi ni wachumba, magirifriend na wake za watu, wanawake wangapi watao kubali kuwa na mwanaume mmoja wakati wanajua kabisa ameoa...? ndio maana mtu akimega nje ya ndoa na mkewe ana kuwa na possibility kubwa ya kumegwa...

they are not there to stay, kama ni ka twiga girl katachukuliwa moja kwa moja na kakijana kake, kama ni mke wa mtu usiku atarudi kwa mumewe,
 
Ohh my dear! Lakni ndio nampenda sasa.Lakini naomba endelea na moyo huo wa kunisaidia kumlinda.
By the way iam sorry sikuwepo w'end,nilikuwa na hamu ya kukuona .Hata hivyo nilipata salamu zako kutoka kwa shemejio(sore ofu topik)
BACK TO FIELD MIRS X-PIN...!are nyumba ndogooz INEVITABLE EVILS?
 
hahahahahha!MPWA MPWAAAAAAA!ukigonga senksi na kuirimuvu kwangu mimi ni kama chalenji!

wakati tunaendelea na mjadala!give me u r final msimamo!ARE THEY HERE TO STAY?(i expect YES-hahahah)

msimamo wangu Mpwa ndo huo! we are making them stay! and my argument is, if they are so 'inevitable' why do u keep 'em secret? hivi wenzetu waislamu wana nyumba ndogo pia? manake wao no sunna hadi wanne! ama hakuna limit ya namba? (nisije nikafungua kiboksi cha pandora mpwa!)
 
hizo nyumba ndogo nyingi ni wachumba, magirifriend na wake za watu, wanawake wangapi watao kubali kuwa na mwanaume mmoja wakati wanajua kabisa ameoa...? ndio maana mtu akimega nje ya ndoa na mkewe ana kuwa na possibility kubwa ya kumegwa...

they are not there to stay, kama ni ka twiga girl katachukuliwa moja kwa moja na kakijana kake, kama ni mke wa mtu usiku atarudi kwa mumewe,

Eti.....! Hivyoe? Dah, nlikuwa sijuagi.
 
Back
Top Bottom