FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Mpwa mi nimegonga senks kisha nikairemove! they are not here to stay...we make them stay mpwa! stuka!
tehe tehe mi nashauri ili kupunguza misuguano ziwe official kabisa, yaani mwenye ubavu amtambulishe kwa mamsapu kuwa huyu ndo anakusaidia kisha tuone kama zitaendeela kuwa na the same 'effect'.
FL1...noted with thanks!
hahahahahha!MPWA MPWAAAAAAA!ukigonga senksi na kuirimuvu kwangu mimi ni kama chalenji!Mpwa mi nimegonga senks kisha nikairemove! they are not here to stay...we make them stay mpwa! stuka!
tehe tehe mi nashauri ili kupunguza misuguano ziwe official kabisa, yaani mwenye ubavu amtambulishe kwa mamsapu kuwa huyu ndo anakusaidia kisha tuone kama zitaendeela kuwa na the same 'effect'.
FL1...noted with thanks!
noted!i am getting something in my mind!
x-pin naomba upitie haya majibu na uyanoti vyema!NITAKUELEZA KWA NINI!
nyamayao nipe msimamo wako...!are they necessary evils?
Hahaha! Hiyo bold nimekugongea senksi! Nadhani na mchumba atakuwa ameiona hiyo. Nikipata nyumba ndogo hatakaa ajue! Hahaha!
huyo ndo mume ulojichagulia....'kwa shida na raha, uzima na maradhi...' remember?
all in all if i ever get to know that NGULI ana kakibanda......patachimbika
Ohh my dear! Lakni ndio nampenda sasa.Lakini naomba endelea na moyo huo wa kunisaidia kumlinda.huyo ndo mume ulojichagulia....'kwa shida na raha, uzima na maradhi...' remember?
all in all if i ever get to know that jamaa ana kakibanda......patachimbika
PUNGUZA JAZBA LOVE!mbona mnalichukulia cmple cmple sana, hivi mwanamke gani umweleze huu upuuzi? labda awe hajitambui na ndoa iwe ni kila kitu kwenye maisha yake...allaaa
yeuwiii mr, khaa! akiwa na ubavu huo yaani nitaamini kweli mr kidume, eeehh Mungu wangu.....halafu ategemee kuniita mkewe tena?
Masikio yangu na macho yangu mwenzenu! unasemaje? siamini amini kama ndo wewe?
eeeh jamani naona kama mmeidhinisha hii ngoma kama ni kweli mnaipigia kampeni fanyeni kwa siri kubwa tena meki shua hatutajua ..
my husband kama unasoma post hii hebu kama unako ka twiga staa jaribu kufanya siri kubwa sana maishani mwako la sivyo nikijua utakuwa unani-kill very soft
noted!i am getting something in my mind!
x-pin naomba upitie haya majibu na uyanoti vyema!NITAKUELEZA KWA NINI!
nyamayao nipe msimamo wako...!are they necessary evils?
Ohh my dear! Lakni ndio nampenda sasa.Lakini naomba endelea na moyo huo wa kunisaidia kumlinda.
By the way iam sorry sikuwepo w'end,nilikuwa na hamu ya kukuona .Hata hivyo nilipata salamu zako kutoka kwa shemejio(sore ofu topik)
Karibu Mwanajamii naona ulihadimika mambo ya martenity nn haya?
BACK TO FIELD MIRS X-PIN...!are nyumba ndogooz INEVITABLE EVILS?Ohh my dear! Lakni ndio nampenda sasa.Lakini naomba endelea na moyo huo wa kunisaidia kumlinda.
By the way iam sorry sikuwepo w'end,nilikuwa na hamu ya kukuona .Hata hivyo nilipata salamu zako kutoka kwa shemejio(sore ofu topik)
hahahahahha!MPWA MPWAAAAAAA!ukigonga senksi na kuirimuvu kwangu mimi ni kama chalenji!
wakati tunaendelea na mjadala!give me u r final msimamo!ARE THEY HERE TO STAY?(i expect YES-hahahah)
hizo nyumba ndogo nyingi ni wachumba, magirifriend na wake za watu, wanawake wangapi watao kubali kuwa na mwanaume mmoja wakati wanajua kabisa ameoa...? ndio maana mtu akimega nje ya ndoa na mkewe ana kuwa na possibility kubwa ya kumegwa...
they are not there to stay, kama ni ka twiga girl katachukuliwa moja kwa moja na kakijana kake, kama ni mke wa mtu usiku atarudi kwa mumewe,