Nyumba dogos!....:are they necessary evils?


Hivi ni wewe mwenyewe au mwingine? Naona Banta umeamua kuachana nazo kabisa.
 
Dah hapa patamu sana kwa hiyo baba ana mega bila kujua na mama nae ana megwa nje bila kujua wakirudi home ngoma inakuwa droo hakuna wa kumlaumu mwenzie vp mkikutana Guest Hausi moja itakuwaje?

ha ha haa sijui wakikutana huko huwa wana ambiana nini..., kuna mtu aliuliza swali hapa JF siku moja, ati mkeo kakukuta guest na mwanamke kakubamba live uta fanya nini? kuna mtu aka jibu kwamba atamgeuzia kibao mkewe yaani patachimbika mpaka mkewe amweleze alifuata nini guest house...
 

Thats my boy! Hahaha! Umechelewa sana leo mpwa! LOL!
 

EEH!
haya bwana/bibi.

nipe msimamo wako basi.mimi ki-blurei hakipandi sana.
 
Mh! haya bwana endekezeni ila siku ya siku itajulikana hapo ndiyo mziki mkubwa unapigwa.

Hivi kunani huko kwenye nyumba ndogo? By the way, hata wanawake nao wameibuka na style hiyo hiyo, wana totozi zao za kuwado kuliko husband, husband anakuwa kama *****, style zote anapewa mtoto ukirudi nyumbani mnaishia kifo cha mende.

Dunia imekwisha jamani. Mungu tunusuru.
 

Its not about money mkuu...sometime wake wanajua kuchokonoa sehemu ambazo zinatuchoma kiasi kwamba unajikuta unatafuta yule asiye kuumiza akili...wanawake there is nothing wrong with being submissive, the best and longest marriages in the world are the one where the wife knew everything but paid no mind...affairs ni vitu vya mpito...mke ni milele mtazeeka wote na kufutana mavi uzeeni!! Tatizo mademu wa siku hizi too much alicia keys , beyonce wanaishia kulalamika 24/7 that pushes a man away!!
 
Kuna vitu ambavyo hata kuvifikiria huwa sitaki na kimojawapo ni hiki. Mi sidhani kama small houses are here to stay, its just that watu wanajiendekeza na kutafuta gharama zingine unnecessarily. Geof watch out, especially you. (if u no wora am seying)
 

Xpin upo?unasikia maneno hayo ya shem nguli? I hope utalifanyia kazi hili na hao akina Big lady hawatakuwa tatizo(u know worram seyying)
 

Yawezekana ni kweliuyasemayo Kapinga, lakini kumbuka hata wanaume na nyie kuna vitu mnawachosha wanawake tena vingi tu, lakini ni wachache sana wanaotafuta serengeti boys kama suluhisho la matatizo yao. Hakuna mwanamke asiyekuumiza akili, unaweza kuwa unaumizwa tena sana tu but in a way ambayo huiunderstand au you are blind just because ni nyumba ndogo. I am sure the same thing ambacho wife angekupush kwa nguvu nyingi ufanye, kwa nyumba ndogo ungefanya bila kuambiwa, so its just the mind that neesd healing, otherwise i dont think there is anything new out there, just wizi mtupu.
 
Xpin upo?unasikia maneno hayo ya shem nguli? I hope utalifanyia kazi hili na hao akina Big lady hawatakuwa tatizo(u know worram seyying)

Point well taken, noted and filed for further office references.
 
nausubiri msimamo wa carmel
 


UNADHANI HUKO NYUMBA NDOGO NDIO HAKUNA MALALAMIKO?
fyi HUKO WANAWALIA TIMING TU... wanajua wanatafuta nini na wakipateje wanachokitafuta.Unakumbuka methali " mtaka cha uvunguni?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…