Eeh! hapo ndo pa muhimu sana for some of us. I cant cheat just because namuogopa Mungu, na just because i made a promise that when i decided to get married, there will only be one man in my life that i will share a bed with! Ukiwa na hofu ya Mungu you will never cheat.Vipi uhusiano wako na Mungu unauweka wapi?
ha ha ha ha!Geoff na Fidel aksanteni kwa majibu yenu.
Ni hilo tu nililotaka kujua. Hapa nawezakusema kuwa mnatafuta justification ya matendo haya kama wanaume hakuna lingine. Kwani kama serengeti boys ni alama ya kushindwa kwa mume kwa mkewe je ina maana nyumba ndogo ni alama ya mke kushindwa kumtimizia mumewe so tukubaliane nanyi kuwa wake zenu wameshindwa kuwatimizia mahitaji yenu do maana mnetoka nje?
tamaaaNipe sababu za mtu kukimbilia nyumba ndogo........
mungu wa nini hapa mpwa!?
mungu na nyumba ndogo wapi na wapi?!
jiulize kwanini mungu alitoa nafasi ya watu kuungama/kutubu?
haya!Eeh! hapo ndo pa muhimu sana for some of us. I cant cheat just because namuogopa Mungu, na just because i made a promise that when i decided to get married, there will only be one man in my life that i will share a bed with! Ukiwa na hofu ya Mungu you will never cheat.
huo ndo ujinga wa mbuni sasa!!!
Eeh! hapo ndo pa muhimu sana for some of us. I cant cheat just because namuogopa Mungu, na just because i made a promise that when i decided to get married, there will only be one man in my life that i will share a bed with! Ukiwa na hofu ya Mungu you will never cheat.
ha ha ha ha ha!i know u r kidding bana!HOW CAN YOU JUSTFY?au umeikata huwa unatembea nayo kwenye kipima joto?😀
Naona hatuelewani........
Kwa nini mimi NGULI sitotoka nje ya ndoa yangu.
1. Naheshimu kiapo changu mbele ya madhabahu na mke wangu mpendwa(Hapa tayri uhusiano wangu na Mungu nimeuhusha.)
2. Nampenda mke wangu sana
3. Sioni tofauti yeyote
serengeti boiz mi naona sawa tu!serengeti boiiz ni picha halisi ya FAILURE OF MWANAUME KUTIMIZA WAJIBU WAKE
Usiogope!haya!
naona leo umetumia nguvu kweli
ukifuatilia mabandiko mengi ya nyamayao na fl1 utaona wamesisitiza kwamba TUFANYE SIRI.....
Eeh! hapo ndo pa muhimu sana for some of us. I cant cheat just because namuogopa Mungu, na just because i made a promise that when i decided to get married, there will only be one man in my life that i will share a bed with! Ukiwa na hofu ya Mungu you will never cheat.
nguli mi najua unatania tu!HAUJAWAHI KUTOKA NJE YA NDOA WEWE??!............
hahahahahaha!sijaona hiyo BIG NOO UNAIAPPLY WAPI!naona unapinga kitu ambacho finally unakikubali.mpnz banabig noo, mie nimesema ctaki kujua kama anae/hana na nikasema nahitaji heshima yake tu hakuna mahali nimesema mfanye kwa cri mana cna uhakika kama mnao/hamna....
Naona hatuelewani........
Kwa nini mimi NGULI sitotoka nje ya ndoa yangu.
1. Naheshimu kiapo changu mbele ya madhabahu na mke wangu mpendwa(Hapa tayri uhusiano wangu na Mungu nimeuhusha.)
2. Nampenda mke wangu sana
3. Sioni tofauti yeyote
Wakina nani Fidel au ni wewe mwenyewe? Jisemee moyo wako usiusemee wa wenzio.
ndio kawaida ya midume