Nyumba dogos!....:are they necessary evils?

Vipi uhusiano wako na Mungu unauweka wapi?
Eeh! hapo ndo pa muhimu sana for some of us. I cant cheat just because namuogopa Mungu, na just because i made a promise that when i decided to get married, there will only be one man in my life that i will share a bed with! Ukiwa na hofu ya Mungu you will never cheat.
 
Geoff na Fidel aksanteni kwa majibu yenu.

Ni hilo tu nililotaka kujua. Hapa nawezakusema kuwa mnatafuta justification ya matendo haya kama wanaume hakuna lingine. Kwani kama serengeti boys ni alama ya kushindwa kwa mume kwa mkewe je ina maana nyumba ndogo ni alama ya mke kushindwa kumtimizia mumewe so tukubaliane nanyi kuwa wake zenu wameshindwa kuwatimizia mahitaji yenu do maana mnetoka nje?
ha ha ha ha!
fidel atakujibu,mimi nikikujibu nitaku-frustrate for nothing
 
mungu wa nini hapa mpwa!?
mungu na nyumba ndogo wapi na wapi?!
jiulize kwanini mungu alitoa nafasi ya watu kuungama/kutubu?

Naona hatuelewani........

Kwa nini mimi NGULI sitotoka nje ya ndoa yangu.

1. Naheshimu kiapo changu mbele ya madhabahu na mke wangu mpendwa(Hapa tayri uhusiano wangu na Mungu nimeuhusha.)
2. Nampenda mke wangu sana
3. Sioni tofauti yeyote
 
I can tell you sometimes sijui kuiga au kufuata mkumbo au ni hulka ya mtu! Mimi wangu nilikuwaga sisemi hata akirudi usiku wa manane siongei zaidi ya kuamka na kumsongea ugali ale nimnawishe maji kisha tupande kitandani tulale tena kwa vicheko na bashasha bado akaitafuta nyumba ndogo na baada ya kumfumania sijasema kitu zaidi ya kuuliza why (na jibu nisipate) sasa hii sijui ni hulka au nini mie huwa mnanichosha kabisa enyi waja!
 
Eeh! hapo ndo pa muhimu sana for some of us. I cant cheat just because namuogopa Mungu, na just because i made a promise that when i decided to get married, there will only be one man in my life that i will share a bed with! Ukiwa na hofu ya Mungu you will never cheat.
haya!
naona leo umetumia nguvu kweli
 
huo ndo ujinga wa mbuni sasa!!!

Ushajibiwa kwa ufasaha hapa

Eeh! hapo ndo pa muhimu sana for some of us. I cant cheat just because namuogopa Mungu, na just because i made a promise that when i decided to get married, there will only be one man in my life that i will share a bed with! Ukiwa na hofu ya Mungu you will never cheat.
 
Naona hatuelewani........

Kwa nini mimi NGULI sitotoka nje ya ndoa yangu.

1. Naheshimu kiapo changu mbele ya madhabahu na mke wangu mpendwa(Hapa tayri uhusiano wangu na Mungu nimeuhusha.)
2. Nampenda mke wangu sana
3. Sioni tofauti yeyote

nguli mi najua unatania tu!HAUJAWAHI KUTOKA NJE YA NDOA WEWE??!............
 
serengeti boiz mi naona sawa tu!serengeti boiiz ni picha halisi ya FAILURE OF MWANAUME KUTIMIZA WAJIBU WAKE

THANKS MJI hapo umenena lakini wakija kwenye hili watakuwa wakali kama mbogo
 
ukifuatilia mabandiko mengi ya nyamayao na fl1 utaona wamesisitiza kwamba TUFANYE SIRI.....

big noo, mie nimesema ctaki kujua kama anae/hana na nikasema nahitaji heshima yake tu hakuna mahali nimesema mfanye kwa cri mana cna uhakika kama mnao/hamna....
 
Eeh! hapo ndo pa muhimu sana for some of us. I cant cheat just because namuogopa Mungu, na just because i made a promise that when i decided to get married, there will only be one man in my life that i will share a bed with! Ukiwa na hofu ya Mungu you will never cheat.

kweli kabisa Carmel, kwa sababu utaogopa kusutwa na dhamira..
 
big noo, mie nimesema ctaki kujua kama anae/hana na nikasema nahitaji heshima yake tu hakuna mahali nimesema mfanye kwa cri mana cna uhakika kama mnao/hamna....
hahahahahaha!sijaona hiyo BIG NOO UNAIAPPLY WAPI!naona unapinga kitu ambacho finally unakikubali.mpnz bana
 
Naona hatuelewani........

Kwa nini mimi NGULI sitotoka nje ya ndoa yangu.

1. Naheshimu kiapo changu mbele ya madhabahu na mke wangu mpendwa(Hapa tayri uhusiano wangu na Mungu nimeuhusha.)
2. Nampenda mke wangu sana
3. Sioni tofauti yeyote

Nguli hongera una hekima za kumwaga ..naamini mkeo anakupenda/atakupenda kama unavyomfanyia
be blessed always
 
I can confirm and my almight God is my witness.
.....and what if ukijua kwamba mkeo ana serengeti?!?!!!!tena baada ya kumuamini kwa muda mrefu?
 
Back
Top Bottom