Nyumba, Duka vinauzwa na NMB Bank

.......Nimejifunza kitu hapa, Nmb wakipita kuhamasisha mikopo wapole kweli.

Ukishindwa kurejesha wanakutangaza na vipaza sauti mitaa yote.
kama wewe unavyomtangaza
 

Acha uongo Mkuu.

Hizo ni hadithi tuu za kubuni zinazoaminiwa na Watu wenye upeo mdogo
 

Hizo ni hadithi za Uongo.
Hakuna kitu kama hicho.

Nina ndugu kibao wamenunua nyumba mikoa Lindi na mtwara na wanaishi vizuri licha ya kuwa walitishiwa kwa maneno na wajinga wanaoamini vitu vya kipuuzi kama wewe
 

Hata wangelia machozi ya Damu hakuna kitakachoweza kutokea.
Hawakutumwa Wakope.

Acheni imani potofu
 

Nitafutie hiyo nyumba iliyotelekezwa alafu nije nikae.
Haifurahishi mwanaume kuwa na mawazo kama haya
 
Hiyo changamoto huwa inatokea mara moja moja. Na kamwe haiwezi kuwakatisha tamaa wafanyabiashara. Maana faida ya hiyo mikopo kwa mtazamo wangu, naona ni kubwa zaidi kuliko hasara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ