BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Ukimpa hii plan fundi wako wa kuezeka atakupa majibu sahihi.Wakuu,
Nimeambatanisha roof plan ya nyumba ambayo imeshajengwa hivyo imebaki kuezekwa.
Nategemea kutumia bati za versatile, hivyo kwa wazoefu mliopo humu ndani nitashukuru sana kama mtaweza kunikadiria idadi ya bati zitakazo tumika ili kujiandaa ipasavyo. Asanteni sana View attachment 2060971
Aproximately RM820Wakuu,

RM inasimama badala ya nini mkuu?Aproximately RM820
Versatiles 820x 19,000=15,580,000
Ila hapo bado kofia zitagharimu appx. 1,200,000 na misumary 400,000
Mbao kama unanunua Dar ni appx. 6,500,000 (mbao za paa na draft na assume unafanya kwa pamoja)
Fundi 4,000,000
Hapa inabidi uwe na 30,000,000 cash ili usikwame njiani. Hiyo nyumba ni kubwa sana
Kila la heri mkuu niliwahi pitia haya maumivu sitasahau
Asante sana kaka150 maximum
Run Meter. Ni urefu wa jumla wa bati utakazohitaji. Hata fundi wako atakuwambia utahitaji RM kadhaaa....maraa baada ya kujua total RM ndipo kiwandani wanakata kutokana na urefu unaotaka kadri ya mahitaji ya paa lako.RM inasimama badala ya nini mkuu?
Asante sanaRun Meter. Ni urefu wa jumla wa bati utakazohitaji. Hata fundi wako atakuwambia utahitaji RM kadhaaa....maraa baada ya kujua total RM ndipo kiwandani wanakata kutokana na urefu unaotaka kadri ya mahitaji ya paa lako.
Hii mikunjo yote ya nini jamaniWakuu,
Nimeambatanisha roof plan ya nyumba ambayo imeshajengwa hivyo imebaki kuezekwa.
Nategemea kutumia bati za versatile, hivyo kwa wazoefu mliopo humu ndani nitashukuru sana kama mtaweza kunikadiria idadi ya bati zitakazo tumika ili kujiandaa ipasavyo. Asanteni sana View attachment 2060971
Paa tu 30M?Aproximately RM820
Versatiles 820x 19,000=15,580,000
Ila hapo bado kofia zitagharimu appx. 1,200,000 na misumary 400,000
Mbao kama unanunua Dar ni appx. 6,500,000 (mbao za paa na draft na assume unafanya kwa pamoja)
Fundi 4,000,000
Hapa inabidi uwe na 30,000,000 cash ili usikwame njiani. Hiyo nyumba ni kubwa sana
Kila la heri mkuu niliwahi pitia haya maumivu sitasahau
Duuuh,ujenzi sisi wengine tutakuwa tunauskia tu..sio kwa gharama hizi.150 maximum
Sio mchezo hiyo gharama aisee.Aproximately RM820
Versatiles 820x 19,000=15,580,000
Ila hapo bado kofia zitagharimu appx. 1,200,000 na misumary 400,000
Mbao kama unanunua Dar ni appx. 6,500,000 (mbao za paa na draft na assume unafanya kwa pamoja)
Fundi 4,000,000
Hapa inabidi uwe na 30,000,000 cash ili usikwame njiani. Hiyo nyumba ni kubwa sana
Kila la heri mkuu niliwahi pitia haya maumivu sitasahau
Hiyo nyumba ni kubwa na pia aina ya bati analotaka kutumia ni ghali vile vile. We nenda kiwanda chochote cha bati uliza bei ya versatile gauge 28 uone bei utakayoambiwa. Wala usiende Alaf we nenda viwanda vya mtaani ambako bei ni nafuu kuliko Alaf
Mkuu ikiwa bati moja ft10 ni 3m, kwa hiyo hii nyumba inahitaji bati 820/3 ambazo ni 274?Aproximately RM820
Versatiles 820x 19,000=15,580,000
Ila hapo bado kofia zitagharimu appx. 1,200,000 na misumary 400,000
Mbao kama unanunua Dar ni appx. 6,500,000 (mbao za paa na draft na assume unafanya kwa pamoja)
Fundi 4,000,000
Hapa inabidi uwe na 30,000,000 cash ili usikwame njiani. Hiyo nyumba ni kubwa sana
Kila la heri mkuu niliwahi pitia haya maumivu sitasahau
Yes. Uko sahihi kabisa mkuu.Mkuu ikiwa bati moja ft10 ni 3m, kwa hiyo hii nyumba inahitaji bati 820/3 ambazo ni 274?